MAGUFULI ALIVYOITIKISA WILAYA YA MOMBA,TUNDUMA NA ILEJE
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi...
View ArticleMadaktari Bingwa wa Moyo toka India , Wanatarijiwa kupambana na ugonjwa wa...
Na Mwandishi WetuKutokea kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya...
View ArticleMFUKO WA LAPF WATOA SHILINGI MILIONI TATU, KUSAIDIA WIKI YA NENDA KWA USALAM
 Meneja Masoko wa Mfuko wa  LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia) akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama barabarani kanda maalum,ACP Peter Sima (kushoto), hundi ya thamani ya...
View ArticleRUVU JKT ILIVYOWAKILISHA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUONYESHA...
Mkuu wa Utawala na Mafunzo wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenelari, Jacob Gedion Kingu, alikuwa mgeni rasmi katika ziara hiyo ya siku moja ya waandishi wa habari kutembelea kikosi hicho....
View ArticleWENGI WAJITOKEZA KATIKA KONGAMANO LA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA
 Mgombea Urais wa Ukawa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akizungumza wakati wa kongamano la Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) lililofanyika jijini Dar es...
View ArticleMAGUFULI ALIVYOITIKISA WILAYA YA MOMBA,TUNDUMA NA ILEJE LEO
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi...
View ArticleNEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA...
 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhan (kushoto), akimkabidhi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Benedict Wakulyamba orodha ya majina 52,078 ya watu waliojiandika katika...
View ArticleTAMASHA LA MANUNUZI KUFANYIKA DAR ES SALAAM JUMAMOSI, NI POP UP BONGO
Na Mwandishi WetuTAMASHA la manunuzi maarufu kama Pop Up Bongo, ambalo limeandaliwa na kampuni ya Studiored PR linatarajiwa kufanyika Jumamosi (Agosti 29) katika baa ya Triniti iliyopo Oysterbay jijini...
View ArticleNSSF YASHIRIKI KWENYE MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA KOROSHO MKOANI LINDI LEO
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF limeshiriki kwenye mkutano wa Wadau wa Korosho unaofanyika kwenye Hoteli ya Peace Beach Mkoani Lindi. Mkutano huo utakaofanyika kwa Siku mbili mfululizo...
View ArticleMAJINA YA WALIOMBA KUJINGA NA JESHI LA POLISI YATOKA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi (JAMIIMOJABLOG)JESHI LA POLISI TANZANIA LINAWAJULISHA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014, KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 NA JKT MWAKA 2015 WALIOCHAGULIWA...
View ArticleMAMA SAMIA KATIKA UBORA WAKE KATIKA MAJIMBO YA MONDULI NA LONGIDO MKOANI ARUSHA
 Wananchi wakiwa wamejawa hamasa kwa nyimbo na nderemo wakati Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassam, alipowasili kwenye Uwanja wa mkutano wa kampeni za CCM leo, katika...
View ArticleROSE MUHANDO KUPAMBA TAMASHA LA AMANI DAR
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Amani, Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu waimbaji watakaotumbuiza katika tamasha hilo...
View ArticleBANK OF AFRIKA TANZANIA YAKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 210 KUSAIDIA MATIBABU YA...
  Mkurugenzi Mkuu wa Bank of Africa nchini Bw. Ammishadai Owusu-Amoah akimkabidhi Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT mfano wa hundi wenye ya dola za kimarekani 100,000 kwa ajili ya matibabu ya...
View ArticleMAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA,AWATAKA WANANCHI WAWEKE IMANI KUBWA KWAKE NA...
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Njombe mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jioni...
View ArticleUKAWA WAZUNDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR LEO
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA WAKAZI WA MTWARA
Mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji akisalimiana na wakazi wa wilaya ya Newala baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Diesel mkoani Mtwara....
View ArticleMGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI KUPITIA CHADEMA NA UKAWA AZINDUA KAMPENI ZAKE
Red Brigade akiimarisha ulinzi katika iwanja ya Dkt Slaa mjini Moshi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael kupitia Chadema na Ukawa uliofanyika...
View ArticlePICHA UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MOROGORO MJINI
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini Fikiri Juma akimnadi Mgombea Ubunge Wa Jimbo hilo Mh Aziz Abood wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Jimbo hilo.Ikumbukwe Mh aziz Abood anatetea Kiti cha Ubunge...
View Article