Mgombea Urais wa Ukawa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akizungumza wakati wa kongamano la Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) lililofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mke wa mgombera urais wa Ukawa Regina Lowassa akifungua kongamano la Bavicha.
Mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha akitumbuiza katika kongamano hilo.
Msanii wa Bongo Movie Jackline Wolper akiwahamasisha wanawake waliohudhuria kongamano hilo.
![]()
Msanii wa Bongo Movie Jackline Wolper akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Wakifuatilia kongamano hilo.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
Kaimu Mwenyekiti wa CUF, Twaha Taslima.
Mgombea Mwenza wa Ukawa, Juma Haji Duni.

Mgombea wa Urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa akipokea keki ya siku yake ya kuzaliwa kutoka kwa msanii wa Bongo Move, Aunt Ezekiel wakati wa kongamano la Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha).
Umati mkubwa wa wafuasi wa Ukawa wakifuatilia kongomano la Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Edward Lowassa akiwasalimia kwa ishara ya upendo watu mbalimbali waliohudhuria kongamano la Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha). Kulia ni Mwenyekiti wa Bavicha, Halima Mdee.
Mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakati wa kongamano la Bavicha.
Lowassa akisalimiana na mke wake Regina.