STARS YAJIFUA UTURUKI
Wachezaji wa timu ya Taifa 'Taifa Stars' wakijifua nchini Uturuki kujiwinda na mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika ‘Afcon 2017’, dhidi ya Nigeria. (Picha na TFF)Timu ya Taifa ya...
View ArticleABBAS MAZIKU BUNDALA
*Mtanzania wa kwanza kufanya biashara ya korosho nchini VietnamMfanyabiashara wa kimataifa anayejihusisha na biashara ya mazao, Abbas Maziku akifafanua jambo katika mahojiano na Tanzania Daima...
View ArticleALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LAURENCE MASHA AKOSA DHAMANA AENDA...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, akishuka kwenye gari la polisi kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, wakati alipofikishwa mahakamani hapo kwa...
View ArticleTAASISI YA UTAFITI YA VYUO VIKUU ESAURP YAANDAA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA...
Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika...
View ArticleLOWASSA ATEMBELEA MASOKO YA CHAKULA JIJINI DAR ES SALAAM
Mgombea wa Urais kuoitia Ukawa, Edward Lowassa akiangalia maharage katika soko la Tandale jijini Dar es Salaam, leo wakati wa ziara take ya kuangalia hali ya masoko ya jijini Dar es Salaam.Askari...
View ArticleMASABURI ASEMA CHAGUA DOUBLE M
Gari maalum la kampeni za mgombe Ubunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Didas Masaburi likipita eneo la Manzese kuhamasisha wananchi kushiriki mkutano wa...
View ArticleMGOMBEA URAIS Dk. MAGUFULI KUFANYA ZIARA YA KAMPENI RUVUMA KUANZIA AUGUST 30
Mgombea Urais wa CCM John Magufuli akiwa katika moja ya mikutano yake. (Picha ya Maktaba) Na Jamvi la Habari SongeaMGOMBEA Urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli anatarajiwa...
View ArticleFIRST NATIONAL BANK (FNB) YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH JIJINI DAR
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam huku akiambatana na Balozi wa Heshima wa...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUSIKILIZA SERA ZA MGOMBEA WA URAIS WA CCM JOHN MAGUFULI
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM, Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa...
View ArticleMGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA
Baadhi ya Maafisa kutoka Mgodi wa Buzwagi wakifatilia mashindano hayo wakati wa ufunguzi, kutoka kushoto ni Bwana, Jamal Rwambol, (Security Operations Section Leader),George Mkanza-(Sustainability...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN...
Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA AZINDUA BODI MPYA YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO HUO
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya PPF na Mafao Mapya ya Mfuko huo Dar es Salaam jana. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa...
View ArticleSerikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa...
View ArticlePingamizi la Mgombea wa CCM dhidi ya Chadema, latupiliwa mbali
Na Bryceson Mathias, Mvomero-MorogoroTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Sadiq Murad, dhidi ya Mgombea wa Chama cha...
View ArticleBENKI YA CRDB YAKBIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA Tuma Pesa na...
Mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo', Editha Emmanuel akionyesha furaha yake baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya gari leo. (Picha na Francis Dande)Naibu Mkurugenzi Mtendaji...
View ArticleTHE NGOMA AFRICA BAND 'GOLDEN VOICE OF EAST AFRICA" TAKES OVER EUROPEAN FANS...
Ngoma-Africa Band Live on the stage xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxThe Ngoma Africa Band aka FFU also known as Anunnaki alien, the most successfull African live Band based in Germany has been vastly gaining...
View ArticleMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA-TANGAZO LA KIFO
Bodi ya Ushauri, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wanasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya TAA, Inj. Lambert W. Ndiwaita kilichoteka tarehe...
View ArticleKAMANDA MPINGA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA KAMATI AMANI YA VIONGOZI WA DINI...
Kamanda Mpinga, akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi Mchungaji wa Kanisa la Penuel Healing Ministry Ubungo Kibangu, Mch....
View ArticleBAWACHA KUHAMASISHA WANAWAKE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaama juu ya uzinduzi wa kongamano la kuunganisha wanawake ili waweze kushiriki...
View ArticleLOWASSA KATIKA ZIARA ZA KUTEMBELEA MASOKO
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Ilala,Lucas Mkondya, akizungumza na mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa, baada ya msafara wake kuzuiliwa na Polisi katika makutano ya barabara...
View Article