Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

STARS YAJIFUA UTURUKI

$
0
0
Wachezaji wa timu ya Taifa 'Taifa Stars' wakijifua nchini Uturuki kujiwinda na mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika ‘Afcon 2017’, dhidi ya Nigeria. (Picha na TFF)

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro ambayo iliwasili nchini Uturuki Agosti 24, imeendelea na mazoezi leo asubuhi katika viwanja viliyopo kwenye viunga vya hoteli ya Green Park – Kartepe.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>