Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FILIKUNJOMBE APELEKEWA FOMU YA UBUNGE NYUMBANI KWAKE

Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  akipokea  fomu  kutoka kwa  wazee  na vijana  waliomchukulia na kwenda  kumkabidhi nyumbani kwake Ibani mjini  Ludewa jana Msafara  wa  vijana wa Boda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC YAANZA VIZURI MICHUANO TA KAGAME, YAIFUNGA KCCA 1-0

 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia goli pekee lililofungwa na John Bocco dhidi ya KCCA ya Uganda katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mshabuliaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALUNDE BAND KATIKA UBORA WAO, WAFANYA KWELI KLABU YA GMB MBEZI

Mkurugenzi wa bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi akiimba wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika klabu ya GMB Mbezi jijini Dar es salaam Maarufu kwa Mbaga katika siku ya pili ya sikukuu ya Idd , kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBUNGE VITI MAALUM VIJANA BUKOBA; ANTU MANDOZA AJITOSA KUCHUKUA FOMU

Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana Bukoba Bi. Antu Mandoza(Kulia) akirejesha Fomu ya Kuomba Ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge wa Viti maalum Vijana Bukoba katika ofisi za umoja huo Mjini Bukoba, ahaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE ,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA...

  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

 Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOR MAHIA HAIKAMATIKI YAIFUNGA KMKM 3-1

Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Mateo Simon, akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAKALA WA MAXMALIPO SASA KUTOA HUDUMA ZA BENKI YA CRDB

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akibadilishana hati ya mkataba wa makubaliano na Mkurugenzi wa Maxcom Africa, Juma Rajabu baada ya uzinduzi wa huduma za ‘FahariHuduma wakala’...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW MUSIC VIDEO : EMANUEL AUSTIN FEAT. BEN POL -RUKA JUU

MFAHAMU EMANUEL AUSTIN MTANZANIA MWANAMUZIKI AISHIYE UJERUMANI.Emanuel  Austin alizaliwa 27.10.1990 Jijini Dar es salaam Tanzania, na ilipofika mwaka 1996  alihamia Ujerumani Kuishi na wazazi wake,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"DOGO" AJITOSA UDIWANI KUPITIA CHADEMA KATA YA KORONGONI MJINI MOSHI

Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF IDD APOKEA MSAADA WA KOMPYUTA KUTOKA KAMPUNI YA ZTE

Ofisa wa Tawi la Kampuni ya Kimataifa ya Mtandao wa Mawasiliano ya Kisasa ya ZTE hapa Zanzibar yenye Makao Makuu yake Nchini  Jamhuri ya Watu wa China Bibi Coco Wang akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA RAIS MSTAAFU SALMINI AMOUR 'KOMANDO' AMIN SALMINI ACHUKUA FOMU...

 Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya Tano Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, Amin Salmini, akimkabidhi fedha za kulipia fomu za kuwania Ubunge, Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja, Shafi Hamadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA

Balozi wa Simba Octa Mshiu akipokea Hati ya Ubalozi kutoka kwa Rais wa Simba Evans Aveva. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani Kajula.  Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko  ndani  ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA KAHAMA, JAMES LEMBELI AJIUNGA CHADEMA

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitangaza kuondoka katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM YAICHAPA 2-0 MALAIKA YA SUDAN KUSIN

Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocc akimtoka beki wa Malaika ya Sudan katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0. (Picha na Francis...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YAPATA MKURUGENZI MPYA

Dk. Ally Y. Simba Mkurugenzi Mkuu Mpya - TCRA                                                                 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa hivi karibuni alimteua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI...

Kamishina Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Johansen Kahatano akifungua rasmi warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC YATOA MSAADA WA MASHINE ZA MATOFALI, SH. 500,000 KWA VIJANA WALIOACHA...

 Vijana waliopata ushauri nasaha wa kuacha kutumia dawa za kulevya, wakishangilia baada ya Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Muungano Saguye (aliyevaa koti) kuwakabidhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAIFUNGA TELECOM 3-0

 Mchezaji Kpah Sherman wa Yanga (kulia), akijaribu kumtoka Daoud Wais Ali wa timu ya Telecom ya Djibout katika mchezo wa Kagame uliopigwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga ilishinda bao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONYAGI WAPATA TUZO YA WAZALISHAJI BORA

 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), maarufu kwa jina la Konyagi. David Mgwassa Kombe la ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>