MAZISHI YA MZEE JULIAN KIBINDO LUKINDO BABA MZAZI WA SUZANI MUNGY WA SHRIKA...
Makaburini. Ndugu na jamaa wakijiandaa na mazishi. Mama Mzazi wa Suzana Mungy bibi Agnesi Julian Lukindo(75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo Bibi Suzana Mungy...
View ArticleAirtel yawaomba Watanzania kuendelea kuwaokoa wawakilishi wa Tanzania BBA
Watanzani wametakiwa kuwapigia kura nyingi kadri wawezavyo,wawakilishi wao katika shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’linaloendelea nchini Afrika Kusini ili kuhakikisha wanaendelea...
View ArticleKIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UJANGILI TANAPA CHAHITIMU MAFUNZO RUAHA NATION...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Allan Kijazi akikagua gwaride la kikosi maalum cha kupambana na ujangili katika hifadhi za taifa wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo...
View ArticleCRDB ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA TAASISI ZA KIFEDHA
Mbunge wa Kilindi, Mh. Beatrice Shelukindo akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa benki ya CRDB wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya Taasisi za fedha yaliyofanyika katika viwanja...
View ArticleALEX MSAMA ATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA YATIMA DAR
Alex Msama akikabidhi hundi yenye thamani ya sh. milioni 1.2 kwa ajili ya kulipia ada ya wanafunzi walioshindwa kwenda shule kwa ajili ya kudaiwa ada. Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama...
View ArticleSTARS TUPENI RAHA
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza na wachezaji wa timu ya Soka ya Tanzania 'Taifa Stars' kabla ya mchezo wao na timu ya Taifa ya Ivory Coast utakaochezwa siku ya Jumapili...
View ArticleWAFANYAKAZI WA BARCLAYS WAWAFARIJI WATOTO WALIOLAZWA-MUHIMBILI
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wakitoa msaada wa vitu ,mbalimbali katika wodi ya watoto Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, vikiwemo sabuni, vyandaru, miswaki, vinywaji baridi...
View ArticleMarieta atwaa taji la Redd’s Miss Chang’ombe
Mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kati Happiness Watimanywa (Katikati) akiwa na nyuso ya furaha mara baada ya kamati ya majaji kumtangaza mshindi katika kinyanganyiro kilichoshirikisha...
View ArticleSerikali inatekeleza mpango upi! MKUKUTA au wa Miaka Mitano?
Na Bryceson MathiasKWA muda mrefu sasa; Serikali imekuwa haieleweki ni Mpang gani inatekeleza ambao inaweza kujivunia kuwa umeifikisha mahali fulani kati ya MKUKUTA uliotoka Nje na Mpango wa miaka...
View ArticleMBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari muda huu amepigwa na kujeruhiwa vibaya damu zinamtoka Puani, amepigwa na vijana wa kisomali, katika eneo la Zaburi kata ya Makuyuni Jimbo la Monduli, Taarifa...
View ArticleMWANDISHI TANZANIA DAIMA JAJI REDD'S MISS TANGA
Clezencia Tryphone Na Elizabeth JohnMWANDISHI wa Tanzania Daima Clezencia Tryphone ‘Tasha’ anatarajia kuwa jaji katika shindano la kumsaka Redds Miss Tanga akisaidiana na aliyewahi kuwa Miss Tanzania...
View ArticleVIJANA WA TANZANIA WASHAURIWA KUWA WABUNIFU
Na Elizabeth JohnVIJANA wa Kitanzania wameshauriwa kutobweteka badala yake wajishughulishe na kazi mbalimbali sio kutegemea ajira za serikalini pekeee.Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na...
View ArticleMBUNGE NASARI ALAZWA HOSPITALI YA SELIAN MJINI ARUSHA
Joshua NassariMbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ameshambuliwa na vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoa wa Arusha aliyejulikana kwa jina la Kalanga...
View ArticleUkweli kuhusu mama aliyeamua kuishi juu ya paa la nyumba Mbezi Beach wabainika
Na Mwandishi WetuWIKI iliyopita kuliibuka sakata zito lililochukua nafasi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, lililomuhusisha mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Hezelina Mrema mkazi wa...
View ArticleSTARS YALALA 4-2
Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars'.(Picha zote na Habari Mseto Blog)Kikosi cha Ivory Coast. Waamuzi wa mechi ya Stars na Ivory Coast wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu...
View ArticleCHADEMA WASHANGILIA USHINDI WA KITI CHA UDIWANI MBEYA
Mkazi wa Mbeya akishangilia ushindi wa Udiwani katika Kata ya Iyela mtaa wa maendeleo jiji Mbeya.
View ArticleNani anayefanya Uharamia huu?
Na Bryceson MathiasHAKUNA kificho tena, sasa nchi yetu ya Tanzania inatafsirika ni ya Kigaidi!Lakini nani anayefanya Uharamia huu? Nani anauruhusu ufanyike? Hata kama Serikali imeshindwa, Hivi Mungu...
View ArticleMONTAGE LTD, SERENA HOTELI WAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA WATOTO WA...
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Serena Hoteli, Seraphin Lusala akizungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kutoka PASADA wakati wa hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Kampuni...
View ArticleSiitaki Tanzania ya Ugaidi na Mauaji, naitaka Tanganyika ya Amani na Utulivu!
Na Bryceson MathiasSI UTANI; nimesema siitaki Tanzania ambayo viongozi na Watawala wake hawataki kuimba wimbo wa, Ili Tuendelee, tunahitaji vitu vinne; Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora.Kiongozi...
View Article'NYOTA NJEMA' YA SALMA SEGERE YAANZA KUTESA
Na Elizabeth JohnMWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa Taarabu nchini, Salma Swed ‘Salma Segere’ ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Nyota Njema’ ambao umeanza kufanya vizuri...
View Article