Star Times, Star TV watunishiana msuli
DAR ES SALAAM, TanzaniaMAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA), imeitaka Kampuni ya Sahara Media Group kurudisha chaneli yake kwenye mtandao wa StarTimes kabla ya saa 10:00 jioni.Akizungumza na wandishi...
View ArticleREDD'S MISS KINONDONI WAFANYA USAFI HOSPITALI YA MWANANYAMALA
Na Elizabeth JohnWAREMBO wanao wania taji la Redds Miss Kinondoni 2013/2014, leo wamefanya usafi katika hospitali ya Mwananyamala pamoja na kujionea hali ilivyo mbaya kwa wagonjwa.Akizungumza baada ya...
View ArticleKAMATI KUU YA CCM YAKUTANA KUJADILI RASIMU YA KATIBA MPYA
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Kikao hicho kilikuwa cha siku moja na maalum kwa ajili ya kupokea rasimu...
View ArticleNaibu Waziri aichangishia KKKT Bwigiri Mil. 8
Na Bryceson Mathias, Bwigiri Chamwino IkuluNAIBU Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Agrey Mwanri, Jumapili 8, 2013, amechangisha Milioni 8 katika...
View ArticleNMB YASHIRIKI MAONYESHO BUNGENI
Waziri wa Nchi ya Ofisi ya Waziri mkuu (Sera,Utaratibu na Bunge), William Lukuvi akipata maelezo kutoka kwa ofisa wa benki ya NMB Diana Kimaro mara alipotembelea banda la NMB katika maonyesho...
View ArticleMKURUGENZI WA USALAMA WA CHADEMA APATA DHAMANA
Mkurugenzi wa Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kabla ya kupata dhamana...
View ArticleMAONYESHO YA MAKAMPUNI BUNGENI YAFANA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa TTCL. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William...
View ArticleCRDB YADHAMINI KONGAMANO LA WASOMI WA VYUO VIKUU NCHINI
Meneja wa Biashara wa benki ya CRDB tawi la UDOM, Danford Muyango akitoa mada kongamano la kimataifa la vyuo vikuu vya Afrika Mashariki kuhusu ujasiriamali, ubunifu na uongozi. Vijana wasomi walikutana...
View ArticleTAMASHA LA KILL MUSIC TOUR 2013 LAZINDULIWA LEO
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Kili Music Tour 2013 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kala Jeramiah na Nasssib Abdul 'Diamond'. Msanii wa muziki wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AAGANA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo Jumatano Juni 12, 2013 amekutana na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Klaus Peter Blandes, ambaye amefika ofisini kwa...
View ArticleMAANDALIZI YA MTANANGE WA KUKATA NA SHOKA KATI YA NMB NA WABUNGE UWANJA WA...
Timu ya Benki ya NMB ipo kwenye maandalizi makubwa ya mechi kati yao na wabunge ambayo itachezwa siku ya jumamosi kwenye viwanja vya Jamhuri hapa Dodoma. Ili kufanikisha mtanange huo Benki ya NMB...
View ArticlePolisi wa Kike aliyepiga picha za utupu atimuliwa kazi
WP AmisaJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemfukuza kazi askari wake wa kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni kutokana na utovu wa nidhamu.Kamanda wa Kanda...
View ArticleTTCL ILIVYOSHIRIKI MAONESHO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Steven Masele akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na TTCL. Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera...
View ArticleSerikali iingilie Mahakama Zisiwafanye Wananchi Wasifanye Kazi
Na Bryceson MathiasUTAKAFITI nilioufanywa katika Mahahakama mbalimbali nchini, Ucheleweshaji wa Kesi na kutokuwepo kwa Taarifa Mahususi kuhusu kutohukumiwa kwa kesi, kunawafanya wananchi kupoteza muda...
View ArticleNAIBU WAZIRI AWAASA WASTAAFU WA NSSF
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF, Abubakar Rajabu (katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (kulia) na Meneja Kiongozi, Uhusiano...
View ArticleKINANA AMFUNGULIA MASHITAKA MSIGWA
*NI KWA KUMHUSISHA NA UJANGILI, BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU*ATAKA FIDIA SH. MILIONI 350PETER MSIGWA DAR ES SALAAM, TanzaniaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amefungua...
View ArticleMchawi wa kinachoitwa Umaskini wa Nchi yetu ni Nani?
Na Bryceson MathiasWATAWALA na hasa Viongozi walio wengi, wamekuwa wakidai nchi yetu ni Maskini jambo ambalo wananchi na wadau wa mambo ya kiuchumi na Sheria wanapinga kwamba si maskini, ila...
View ArticleMIPANGO YA MAZISHI YA MSANII LANGA KUFANYIKA MIKOCHENI
Mipango ya mazishi ya msanii wa muziki wa Hip Hop, Langa Kileo inafanyika nyumbani kwao Mikocheni mtaa wa Ursino jijini Dar es Salaa, Msanii huyo wa wa Hip Hop alifariki dunia Juni 13 katika hospitali...
View ArticleYALIYOJIRI USIKU WA TUZO 'KTMA 2013 - KIKWETU KWETU'
Mshindi wa tuzo tatu za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013, Kala Jeremiah (katikati) akitoa neno la shukrani. Kushoto ni Mtayarishaji D Classic aliyefanya wimbo Dear God uliompa Jeremiah tuzo...
View Article