BALOZI SEIF IDD AWATAKA WANANCHI KUWAUNGA MKONO VIONGOZI WENYE KULETA MAENDELEO
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi msaada wa Vipaza sauti Amiri wa Jumuiya ya Sherehe za Siku Kuu ya Iddi Matemwe Ustaadhi Kundi Choum Haji kutekeleza ahadi aliyoip[a...
View ArticleMwenyekiti wa Chadema akamatwa na Polisi
Na Bryceson Mathias, Kilosa, MorogoroMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mbigiri Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Maftaha Hamisi Shabani, amekamatwa na Polisi Dumila,...
View ArticleWAZIRI KIVULI WA ELIMU APINGA SERIKALI KUWATAKA WALIMU KUJIELEZAKWA WAKUU WA...
Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lyimo (Chadema) akifafanua jambo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu matatizo katika sekta ya elimu. Kushoto ni Katibu wa Bawacha, Grace Tendega. (Picha...
View ArticleBayport Financial Services yazidi kuchanja mbuga, yazindua tawi la 80...
Na Mwandishi Wetu, IlejeTAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo kwa watumishi wa wa umma na kampuni zilizoidhinishwa, mwishoni mwa wiki ilizindua tawi lake...
View ArticleDk. Slaa anguruma Marekani
Dk Slaa , mkewe Josephine na Meya wa Indianapolis Dk Slaa akitoa muhadhara.Dk Slaa, mkewe Josephine na wataalamu wa Katiba, Profesa J.M Curtis na Dickson Ramsey.NA ANDREW MSECHUKATIBU Mkuu wa Chadema,...
View ArticleCHE MUNDUGWAO AFARIKI DUNIA, KUZIKWA DAR
MWANAMUZIKI wa nyimbo za asili na mtayarishaji wa vipindi vya radio, Chigwele Che Mundugwao, amefariki dunia leo saa moja asubuhi, akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akitibiwa...
View ArticleVACANCIES
Dira Newspaper Co Ltd. publisher of Dira ya Mtanzania and Pata Habari is looking for motivated and highly experienced individuals to fill the position of:POSITION: EDITOR (4 POSTS)MAIN...
View ArticleKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA...
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of...
View ArticleMICHUANO SOKA JIMBO LA TEMEKE YAANZA KUTIMUA VUMBI DAR
Mchezaji wa Yombo Vituka Brighton Sapa (kushoto), akipambana na mchezaji wa timu ya Kata ya 14, Rashid Kapate, wakati wa mechi ya fungua dimba ya Michuano ya Soka Jimbo la Temeke, Mtemvu Cup 2015, leo...
View ArticleMSHINDI WA 'TUMA PESA NA SimBanking' AKABIDHIWA GARI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’. Mkurugenzi Mtendaji...
View ArticleZITTO ANGURUMA TABORA
Zitto akionyesha nguo za chama za Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Wilaya ya Urambo Bakari Humbe, aliyeamua kuhama Chama Cha Mapinduzi. (Picha na Said Powa)Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe,...
View ArticleNEC YAANZA MAFUNZO YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA COMPUTER
Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya...
View ArticlePOLISI WAIZINGIRA NYUMBA YA ASKOFU GWAJIMA, APANDISHWA KIZIMBANI LEO
Nyumba ya askofu Gwajima ikiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakati yeye mwenyewe akiwa ndani yeye na familia yake. Ulinzi uliimarishwa kila kona nyumbani kwa askofu Gwajima. Ulinzi mkali nyumbani kwa...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA ACT MKOANI SHINYANGA
Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Anna Mngwhira, akiwahutubia wakazi wa mji wa Kahama Mkoani Shinyanga jana kwenye viwanja vya CDT,wakati wa mkutano wa chama hicho wakutafuta uungwaji mkono kwa...
View ArticleKINANA ASHIRIKI KATIKA BONANZA LA VILABU VYA JOGGING MKOA WA DAR ES SALAAM,...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akianza mazoezi wakati akishiriki katika bonanza la Jogging lililoandaliwa na Kundi la Kaza Moyo Jogging Club la Ukonga Sitakishari ili...
View ArticleMsama afafanua yanayojiri Kituo cha Honoratha
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu taarifa za upotoshwaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusiana...
View ArticleNYALANDU: UMOJA WETU NDIO UTATUFANYA TUSONGE MBELE
Waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na aliyewahi kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Joshua Kileo (Kulia) baada ya ibada katika Kanisa la KKKT usharika wa mjini Kati siku ya...
View ArticleMAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO, MWANZA
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha jijini humo. (Picha na Said Powa) Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa ACT-Wazalendo.
View ArticleMkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa amuingiza kazini Msaidizi wake Mch....
Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja...
View ArticleTFF YAPOKEA MAOMBI YA KAGAME CUP 2015
Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini TF, leo hii limepokea maombi toka Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), likiitaka Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo ngazi ya...
View Article