Mchezaji wa Yombo Vituka Brighton Sapa (kushoto), akipambana na mchezaji wa timu ya Kata ya 14, Rashid Kapate, wakati wa mechi ya fungua dimba ya Michuano ya Soka Jimbo la Temeke, Mtemvu Cup 2015, leo kwenye Uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam. Katika mechi hiyo timu hizo zimetoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. (Picha na Bashir Nkoromo)
↧