Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Chadema kumng’oa mwenyekiti wa CCM

NA BRYCESON MATHIAS, MOROGOROCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tawi la Mbigili wilayani Kilosa, kimesema kitamng’oa Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji hicho wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Hemed...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAFANYA MAUAJI UWANJA WA TAIFA, YAIFUNGA COASTAL UNION 8-0,TAMBWE APIGA...

Kiungo wa Yanga, Salum Telela, akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF IDD AYATAKA MAKAMPUNI YA INDIA KUWEKEZA VISIWANI ZANZIBAR

 Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana  Satendar Kumar akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Balozi Mdogo Mpya wa India...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI

Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku...

View Article

JOTO LA UBUNGE SIMANJIRO LAZIDI KUSHIKA KASI

Mahmoud Ahmad, ArushaJoto la ubunge katika jimbo la Simanjiro mkoani Manyara limezidi kushika kasi mara baada ya mkuu wa wilaya ya Kakonko,Peter Toima   kutamka ya kwamba endapo wakazi wa jimbo hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SSRA HOSTED DELEGATES FROM PUBLIC SERVICE COMMISSION OF ZIMBABWE & TANZANIA,...

Head of Public Relations & Promotions Mrs. Sarah Kibonde Msika inviting delegates from Public Service Commissions of Zimbabwe & Tanzania.Head of Public Relations &  Mrs. Sarah Kibonde Msika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASHIRIKI WA...

Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu ,vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitaji yao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko (UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedha hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MPIGANAJI BERNARD RWEBANGIRA

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMO WA MADEREVA WATINGISHA NCHI LEO

Moto uliowashwa katikati ya barabara katika eneo la Stendi ya mkoa Ubungo jijini Dar es Salaam kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi yaendayo  mikoani pamoja na daladala. (Picha na Francis Dande) Askari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA CHAMA CHA ACT KATIKA PICHA

 Viongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo wakiangalia mazao ya wakulima. Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa Njombe wakifuatiliakwa makini huku wakinyeshewa na mvua. Kiongozi wa Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPTALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPTALI YA...

Haya ni maneno yaliyoandikwa katika magari hayo.Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Magari...

View Article

KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI NCHINI MAREKANI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini jana (Jumamosi Aprili 11, 2015) kuelekea nchini Marekani ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tisa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi watumia mabomu ya machozi kutuliza vurugu Iringa mjini

Askari  wa zimamoto  wakizima moto katikati ya  barabara  ya  Iringa - Kilolo  leo Baadhi ya  watuhumiwa wa  vurugu hizo  wakipakiwa katika gari la  FFU. Mpita njia  eneo la Ipogolo akipiga  picha kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 69 ZA UJENZI WA VISIMA VYA MAJI VITUKA,MWEMBELADU...

 Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya sh Milioni 69 kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vituka, Bi. Amina Rashid Simba kwa...

View Article

KAMATI YA RUFAA YA NIDHAMU - TFF

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu - TFF imekutana leo tarehe 12/04/2015 kujadili rufaa No. 1/2014 ya DR.DAMAS  NDUMBARO dhidi ya TFF.TFF iliwakilishwa na Wakili Msomi Emmanuel Muga na Dr. Ndumbaro hakufika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAIFUNGA MBEYA CITY 3-1

 Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya kupata goli la kwanza katika mchezo wao na Mbeya City leo uliofanyika leo uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1. (Picha na Francis Dande)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA KIPYA CHA SIASA CHAZALIWA

 Mwenyikiti wa Chama cha C.K.U.T, Ramadhan Semtawa. Jijini Dar es Salaam akifafanua jambo. Kushoto ni Katibu wa chama hicho, Noel Antapa.Msajili wa vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi, (kulia)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOFARIKI KATIKA AJALI IYOVU WAZIKWA KATKA KABURI LA PAMOJA

 Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo akishiriki kwenye mazishi ya watu waliofariki kwenye ajali ya magari mawili ya lori na basi kugongana eneo la Iyovi Morogoro na kuzikwa Makaburi ya Msamvu Wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACT-WAZALENDO WAFANYA MKUTANO MORO

 Viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa Ndege mjini humo kabla kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe ajaanza kuhutubia. (Picha na Said Powa)Kiongozi...

View Article

KAMATI YA USIMAMIZI NA UENDESHAJI YA BODI YA LIGI

Kocha Jackson Mayanja wa Kagera Sugar amepigwa faini ya sh. 500,000 na kufungiwa mechi tatu kwa kutoa lugha ya kashfa kwa maneno na vitendo kwa waamuzi wa mechi yao na Mtibwa Sugar kuwa walipewa...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>