Je; Sitta Aokolewe kwenye Kisima cha Matope? Ndiyoooo!!
Samuel SittaJohn MagufuliNa Bryceson MathiasHIVI karibuni, WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mbunge wa Urambo, Samuel Sitta, alimuokoe Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi,...
View ArticleTFF YATOA UFAFANUZI KUHUSU MASHINDANO YA KAGAME CUP
Sababu kwa nini Tenga asizuie mashindano--Tenga ni rais wa CECAFA na walioamua kuwa mashindano yafanyike Darfur ni mkutano mkuu uliopata taarifa ya hali ya usalama kwenye mkutano mkuu wa dharura...
View ArticleSTARS YAAHIDI KUFANYA KWELI KATIKA MCHEZO WAO DHIDI YA MOROCCO
Kocha wa Timu ya Taifa, Kim Poulsen na Nahodha Juma Kaseja wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Pullman ilikoyo Marrakech, Morocco. Stars inashuka Jumamosikupambana na timu ya...
View ArticleWAKAZI WA SARANGA WAJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA
Na Mwandishi WetuWAKAZI wa Kata ya Saranga wameutaka uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kusambaza makasha ya kutupia taka, lengo ni kuifanya kata hiyo kuwa na mazingira...
View ArticleWasomi wanaposema CCM IJiandae kuondoka kwa aibu! Kulikoni?
Na Bryceson Mathias‘Uzuri wa Mkakasi, Ndani Kipande cha Mti!’NIMEPATA mshitiko kuona Wasomi nchini, sasa wameamua kuwatetea wananchi waziwazi, na huu ndio wajibu wao, ambapo wanapaza Sauti kusema Chama...
View ArticleMRITHI WA BRIGITT ALFRED, PRISCA ELEMENT AAHIDI KUMRITHI HADI REDD'S MISS...
Miss Sinza 2012-2013, Brigitte Alfred (kushoto) akimvisha Taji Redd's Miss Sinza 2013, Prisca Element, baada ya kutangazwa mshindi wa taji hilo katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo...
View ArticleTAIFA STARS WAKIWA KATIKA MAZOEZI KABLA YA KUIVAA MOROCCO
Erasto Nyoni akimiliki mpira wakati wa mazoezi ya timu ya Taifa Stars kablaya mchezo wao na timu ya taifa ya Morocco.
View ArticleCCM DAR WAKUTANA NA UJUMBE WA VIETNAM LEO
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida,akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisticha Vietnam, Hoang Binh Quan, Ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leoKushoto ni...
View ArticleNSSF ILIVYOSHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA 'STEAP AHEAD' YA KUSAIDIA AFYA YA...
Naibu Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro akimkabidhi cheti, Ofisa Utawala Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yussuf Mmanga, kwa kutambua mchango wa...
View ArticleKASEBA ALIVYOMSAMBARATISHA SIMWANZA WA MALAWI
Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba...
View ArticleKILI MUSIC AWARDS - KTMA 2013 KALA JEREMIAH, OMMY DIMPOZ, MASHUJAA WANG’ARA
Kala Jeremiah akielekea kuchukua tuzo yake huku akisindikizwa na mtayarishaji wa nyimbo yake ya Wimbo Bora wa Mwaka (Dear God) Kala Jeremiah akiwasahukuru mashabiki wake baada ya kupokea tuzo yake....
View ArticlePAMBANO LA STARS NA MOROCCO KATIKA PICHA
Thomas Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco. Kikosi cha timu ya Taifa Stars kilichopambana na Morocco.
View ArticleRAFAEL NADAL AMCHAPA DAVID FERRER NA KUTWAA FRENCH OPEN 2013
PARIS, UfaransaNYOTA wa tenisi duniani, Rafael Nadal jioni hii amefanikiwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Wazi ya Ufaransa ‘French Open’ akivunja rekodi ya kubeba kwa mara ya nane.Nadal alifanikiwa...
View ArticleTGNP Yaweka Bayana Matokeo Utafiti Vijiji vya Shinyanga, Mbeya na Morogoro
Na Thehabari.comMTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), umetoa mrejesho wa utafiti shirikishi uliofanywa na kikosi cha waraghbishi kutoka mtandao huo katika baadhi ya vijiji kutoka mikoa ya Shinyanga,...
View ArticleKwa nini wabunge walipwe sawa, hata wanapowajibika kidogo?
Na Bryceson Mathias IMEBAINIKA, Muundo wa sasa wa Muungano una matatizo. Kwa mfano, Mbunge wa Zanzibar anawakilisha watu wachache zaidi ukilinganisha na mbunge wa Bara. Lakini cha kushangaza utaona...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI, ABSOLOM...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika...
View ArticleMBOWE ASHIRIKI KATIKA ZOEZI LA KUFANYA USAFI
Mbunge wa Jimbo la Hai Freeman Mbowe (katika aliyevaagwanda) akisisitiza jambo akiwa na wanachama wa kikundi cha kijamii chaChembe Kidevu ambacho kilizinduzi katiba yake ambapo zoezi hilolilienda...
View ArticleSTARS YAREJEA NYUMBANI KUTOKA MOROCCO
Wachezaji wa Taifa Stars wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere Jumatatu alfajiri wakitokea Morocco.-Asema adhabu ya kadi nyekundu haikuwa na ulazima-Asema wangecheza 11 ushindi...
View ArticleMwanalibeneke Othman Michuzi kafanya vitu vikubwa ndani ya Kili Music Awards
Mwanalibeneke Othman Michuzi a.k.a "Mzee wa Mtaa kwa Mtaa" wa Kampuni ya Michuzi Media Group juzi kati alitinga ndani ya Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro Tanzania Music Awards...
View ArticleWASHINDI REDDS MISS KIGAMBONI WATEMBELEA JAMBO LEO, STAA SPOTI
Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo,...
View Article