Meneja Kiongozi wa Idara ya Uhusiano na Huduma Kwa wateja Bi. Eunice Chiume akitoa maeleozo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika katika viwanja vya TCC Club Changombe. Kulia ni Afisa Mwandamizi wa Idara ya Uhusano na Huduma Kwa wateja.
Timu ya NSSF inayoshiriki kutoa Huduma na elimu mbalimbali kwenye NSSF CLINIC wakiwa katika picha ya Pamoja kwenye Banda lao katika viwanja vya TCC club Changombe.
Afisa wa NSSF(Athuman Ally) akiwapa wanachama taarifa za michango yao walipotembelea Banda la NSSF katika viwanja vya TCC club changombe.