Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

UTT-AMIS YATOA SEMINA KUHUSU UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MASOKO YA FEDHA JIJINI ARUSHA

$
0
0
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa mada kuhusu Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja UTT-AMIS  kuhusu Uwekezaji wa pamoja kwenye Masoko ya Fedha wakati wa semina ya kuwaelimisha watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika uwekezaji.

Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wakimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja UTT-AMIS  kuhusu Uwekezaji wa pamoja kwenye Masoko ya Fedha wakati wa semina ya kuwaelimisha watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika uwekezaji.
Baadhi ya wafanyakazi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakiwa katika semina hiyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT, Hamis Kibora (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina ya iliyoendeshwa na UTT-AMIS kuhusu Uwekezaji wa pamoja kwenye Masoko ya Fedha ikiwa ni kuwaelimisha watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuhusu masuala ya uwekezaji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>