KAMATI KUU YA CHADEMA YAKUTANA NA WANACHAMA WALIOTIA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa Kikao cha Kamatii Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu...
View ArticleKampuni ya TTCL yaanzisha kituo cha interneti 'IP Pop'
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia) akizungumza na wanahabari mara baada ya mkutano wa wadau wa mawasiliano Afrika ikiwemo kampuni ya TTCL. Naibu Waziri wa...
View ArticleKasisi alia na Katiba, adai inasumbua sababu hakuna Upendo
Na Bryceson Mathias, Chibelela, BahiKASISI Ujumla (Vicar General), George Chomola, wa Kanisa la Anglikani Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) Dodoma, ameililia Katiba Mpya akisema inasumbua kwa sababu...
View ArticleMWILI WA MENEJA UHUSINO WA TTCL AMINI MBAGA WAAGWA DAR, KUZIKWA LEO SAME...
Wanafamilia wakiwa katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL, marehemu Amini Elias Mbaga. Ibada hiyo ilifanyika katika Kanisa la KKT Sinza Kumekucha. Mazishi yanatarajiwa...
View ArticleMWANRI: ZINGATIENI WELEDI WAKATI WA KUANDAA MAANDIKO YA MIRADI
Kaimu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wizara za viwanda na biashara, fedha, uchukuzi, nishati na...
View ArticleTEN/MET, CWT WAADHIMISHA SIKU YA WALIMU DUNIANI
Mratibu wa Uhakiki wa Ubora wa Elimu kutoka Shirika la Kijamii la Masuala ya Elimu (Haki Elimu), Robert Mihayo akitoa mada kuhusu Ubora wa Elimu Tanzania wakati wa semina ya maadhimisho ya Siku ya...
View ArticleKAMPUNI YA VIP YAFAFANUA SAKATA LA IPTL
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari pamoja na jopo la wanasheria kutoka Marekani (hawapo pichani kuhusu jambo hilo Dar es Salaam leo. Imeandaliwa na...
View ArticleKAMPUNI YA VIP YAFAFANUA SAKATA LA IPTL
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari pamoja na jopo la wanasheria kutoka Marekani (hawapo pichani kuhusu jambo hilo Dar es Salaam leo. Imeandaliwa na...
View ArticlePSPF YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 12 KWA VYUO VIWILI BAGAMOYO
Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani kushoto Akimkabidhi Msaada wa Kompyuta Mkuu wa Chuo Kikuu teule cha Marian Father Luke Mbefo ambapo Kompyuta hizo zitatumika katika Kuhifadhi Nyaraka...
View ArticleMTEMVU AZINDUA OFISI ZA UWT-CCM KATA YA VITUKA, TEMEKE
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akisaliliana na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara alipo wasili katika Ofisi ya Kata ya Vituka Dar es Salaam leo Mbunge wa Jimbo la Temeke...
View ArticleNYUMBA ZINAPANGISHWA
Sehemu ya mbele. ENEO: Nyumba ipo PUGU-Umbali wa mita 100 toka Barabara Kuu ya lami. Nyumba 3 za familia zipo ndani ya eneo moja kila moja inajitegemea.UKUBWA: Kila moja...
View ArticleMAWAKILI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI WA VIP ENGINEERING AND MARKETING LIMITED...
Simba akiwa amelala katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.Mawakili wa Kampuni ya Uwekezaji ya VIP Engineering and Marketing Limited kutoka Marekani na Uholanzi wakijiandaa na safari ya kwenda...
View ArticleTBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI,DAR
Mganga Mkuu wa Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo (kulia), akijaribu kufungua bomba la maji, baada ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto),...
View ArticleNHC yaelezea namna ilivyosaidia vijana kupitia mradi wa ufyatuaji wa matofali...
Meneja wa Mkoa wa Tabora Bw. Erasto Chilambo, akimpa maelezo ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii Bi Susan Omari alipotembelea mradi huo ulioko eneo la...
View ArticleMWANASHERIA MPYA ZANZIBAR AAPISHWA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na...
View ArticleMPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI WA PSPF NI MKOMBOZI
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizunfumza wakati wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa maafisa rasilimali watu kutoka wakala za serikali iliyofanyika mjini...
View ArticleKIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAENDELEA MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa...
View ArticleKANISA LA CHRIST EMBASSY LATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA JESHI LA POLISI
Mchungaji wa Kanisa la Christ Embassy, Ken Igini akimuonyesha sehemu ya msaada wa Kompyuta 10 Naibu Kamishna wa Polisi, Simon Siro baada ya kukabidhi kompyuta hixo. Kushoto ni Balozi wa Nigeria hapa...
View ArticleKUPOTELEWA KWA NYARAKA MUHIMU
Jina: Deo Mbasa Vitu vilivyopotea ni begi lililokuwa na;1. Laptop aina ya Acer2. Simu kubwa ya Kirusi aina ya Oysters3. Vyeti vya masomo a) Cheti cha form four - NECTA b) Cheti cha form six -...
View ArticleMwenyekiti amkaribisha DC Chadema
Na Bryceson Mathias, ChalinzeMWENYEKITI wa CHADEMA Korogwe, Mjumbe wa Baraza Kuu na na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa, Aulelian Nziku, amempongeza na kumkaribisha Chadema Mkuu wa Wilaya, Mrisho Gambo,...
View Article