Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKABIDHIWA MAGARI NA PIKIPIKI KUTOKA SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI...

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari wakati akipokea magari hayo Dar es Salaam leo.Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Charles Palanjo akizungumza na katika hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA WAMKABIDHI FOMU HALIMA MDEE KUWANIA UENYEKITI WA BAWACHA, AMWAGA...

 Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Nadia Said akipokea fomu kutoka kwa Katibu Muhtasi wa Mabaraza, Neema Alex. Baadhi ya wanachama wa Chadema wakiwa nje ya ofisi za Bawacha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA WANAWAKE 600 KUNUFAISHWA NA ELIMU YA UJASILIAMALI MKOANI MWANZA

Afisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile pamoja na Meneja wa Kanda ya ziwa wa PPF Bwana Meshach Bandawe wakifuatilia mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema leo katika ukumbi wa Gold Crest...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUKWAA LA KATIBA TANZANIA LATOA TATHIMINI YA WIKI MBILI YA MWENENDO WA BUNGE...

  Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Hebron Mwakagenda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitoa tathimini hiyo. Kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA SARATANI YA MATITI KUTOKA INDIA ATUA NCHINI

 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira (kulia), akimtambulisha kwa madaktari (hawapo pichani), Daktari Bingwa wa magonjwa ya saratani ya matiti, Profesa Anthony Pais, kutoka Bangorole...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakiangalia moja ya alama katika eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA UZINDUZI WA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI...

 Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRODUCER NAH REEL AFUNGUA STUDIO DAR

NA SYLVESTER DAVIDMTAYARISHAJI na msanii maarufu wa muziki nchini,Emanuel Mkono, ‘Nah Reel’amefungua studio ya kufanyia muziki  yenye lengo la kusaidia  kuboresha kazi za wasanii .  Akizungumza katika...

View Article


Askofu Aijia Juu Serikali; asema Katiba isiwe ya Chama Kimoja.

Na Bryceson Mathias, Dodoma MSAIDIZI wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Dodoma, Samwel Mshana, ameijia juu Serikali akisema Mchakato wa kupata Katiba Mpya usiwe wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIOLANDS YAKABIDHI MSAADA WA AMBULANCE NISSAN PATROL KWA HALMASHAURI YA...

 Meneja Mkuu msaidizi wa Biolands(Kulia) akimkabidhi na kupongezana  na Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mh. Magreth Ester Malenga ufunguo wa Gari la Wagonjwa katika Sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMELESS NEW VIDEO "BUTTERFLY"

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS), CHARLES EKELEGE...

 Charles Ekelege akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo ambapo alihukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kulipa faini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Castle lite yatoa zawadi kwa washindi sita

Meneja Msaidizi wa Bia ya Castle Lite, Victoria Kimaro akizungumza wakati wa kutangaza washindi sita wa kwanza wa shindano la Castle Lite Yacht Party jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Bia hiyo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EMMANUEL OKWI ATUA MSIMBAZI BAADA YA MKATABA WAKE NA YANGA KUVUNJWA

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Hans Pope (kulia), akiwa na mshambuliaji raia wa Uganda, Emmanuel Okwi aliyejiunga na klabu hiyo akitokea katika timu ya Yanga baada ya kuvunjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR NA VIUNGA VYAKE KWA BURUDANI...

Diva wa Skylight Band Mary Lucos akiimba kwa uzuri kabisa Ndani ya kiota cha burudani Thai Village.Bendi yako machachari na inayopendwa zaidi ndani ya Jiji la Dar es salaam na viunga vyake vyote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU KUMI WAMEFARIKI DUNIA NA MAJERUHI SABA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA...

Hivi ndivyo ambavyo Daladala hiyo ilivyojibamiza muda mchache uliopita.  Askari polisi akipita juu ya mabaki ya Gari aina ya Toyota Hiace T237 BFB iliyosababisha vifo vya watu 10 papo hapo na saba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. (Picha zote kwa hisani ya...

View Article


Tanzania Prisons kusaka makali ya ligi kuu Sumbawanga

NA KENNETH NGELESI, MBEYASIKU chache baada ya Mbeya City kurejea kutoka Mikoa ya Rukwa na Katavi iliko kuwa kusaka vipaji na  makali ya kujiwinda na Ligi kuu Tanzania Bara, kakazao na wapinzani wao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KATIKA SHOO YA TWANGA PEPETA KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR

  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (katikati) akiimba pamoja na waimbaji wake kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya maisha jijini Dar. Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MATANGAZO YANAYOTEMBEA (TRIA) YAZINDULIWA RASMI TANZANIA

 DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA akisoma risala yake wakati wa uzinduzi wa matangazo hayo. TRUSHAR KHETIA Mkurugenzi mtendaji wa TRIA akikata utepe wakati akizindua...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>