Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 4

$
0
0
WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI NSSF WATEMBELEA MRADI  WA UJENZI WA MJI WA KISASA KIGAMBONI ‘DEGE ECO VILLAGE’
 Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiwasili katika eneo la mradi mkubwa wa ujenzi wa mji wa kisasa wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mradi huo unajengwa kwa pamoja na NSSF na Kampuni ya Azimio Holding Estate. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (katikati), akizungumza wakati Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, walipotembelea mradi wa ujenzi wa mji wa kisasa uliopo eneo la Dege-Kigamboni jijini Dar es Salaam. 
 Baadhi ya Wajumbe wa Bodi.
 Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF, Abubakar Rajabu, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau na Meneja Kiongozi, Uhusiano, Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume. 
 Wajumbe wa Bodi.
 Mjumbe wa Bodi, Said Magonya akiuliza shwa kuhusu mradi huo.
 Mkurugeni Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau akijibu baadhi ya maswali ya Wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa NSSF.
 Mwenyekiti wa Kampuni ya Azimio Holding, Mohamed Ikbal Haji na akiwaonesha eneo la mradi wa ujenzi wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa NSSF. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi NSSF, Abubakar Rajab na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk. Ramadhan Dau. 
 Mafundi wakiendelea na ujenzi.
 Baadhi ya nyumba zikiendelea kujengwa.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (katikati), akifafanua jambo wakati Bodi ya wadhamini ya NSSF ilipotembelea mradi wa ujenzi wa mji wa  kisasa wa uliopo Dege-Kigamboni. Kulia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Azimio Holding, Mohamed Ikbal Haji na Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo.
 Dk. Ramadhani dau akiwaongoza wajumbe wa Bodi ya Wadhamini kutoka katika eneo la mradi wa ujenzi wa nyumba wa Dege Eco Village.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (katikati), akiwaongoza Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, walipotembelea mradi wa ujenzi wa mji wa kisasa uliopo eneo la Dege-Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Miradi wa NSSF,  Mhandisi John Msemo naMeneja Kiongozi, Uhusiano, Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume. 
 Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF wakiwa katika picha ya pamoja.
 Baadhi ya nyumba zikiwa katika hatau za mwisho.

 Dk. Ramadhani Dau (wa pili kulia), akiwaongoza Wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi NSSF kutoka katika eneo la mradi wa ujenzi.
 Picha ya pamoja ya Wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi NSSF.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>