Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

DAR WATESA MASHINDANO YA GOFUNa Mwandishi WetuWACHEZAJI 14 kati ya 52 wa mchezo wa gofu wa Mkoa wa Dar es Salaamambao mwishoni mwa wiki walishiriki mashindano ya mchezo huoyaliyojulikana kama 'Siku ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 13

MGOMO WA MADEREVA NA MAKONDAKTA LEO ASUBUHI Abiria wanaotumia njia ya makumbusho kuelekea Mwenge wakitokea Tandika na Mbagala leo wameonja Joto ya jiwe kwa takribani masaa manne baada ya mabasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 12

MKURUGENZI WA ZAMANI TANESCO APANDISHWA KIZIMBANIAliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, William Mhando (kushoto) akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, ambapo alisomewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 11

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-TANGAMeneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Tanga, Frank Maduga (kulia) akitoa maelezo kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dk....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AY ATOA WIMBO KUMSAPOTI DIAMOND TUZO ZA MAMA

Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ambwene Yesaya ‘AY’ amerekodi wimbo maalumu kwa ajili ya kumpigia debe, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ ili ashinde tu zo za MTV (MAMA).Katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DULLY AJIVUNIA MIAKA 15 YA USANII

Na Elizabeth JohnBAADA ya kutimiza miaka 15 tangu alipoingia katika tasnia ya muziki ya Bongo Fleva, msanii Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ anatarajia kufuangua studio ya kufanya kazi za ‘live’ na matangazo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 8

Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wavutiwa na kujiunga na Mfuko wa GEPF Katibu Mkuu wa Wizaraya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Bw. John Haule akifungua rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

MAMIA WAHUDHURIA MAZISHI YA MAXIMILIAN JOHN NGOBE Gari la Polisi likiongoza msafara kuelekea katika viwanja vya Leaders Club ambako shuguli za kuaga mwili wa marehemu Maxi Milian John Ngobe zilifanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA NBC TABATA

 Ofisa Uhusiano Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ,Dorris Malulu, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kisima kilichojengwa kwa msaada wa kampuni hiyo katika Zahanati ya NBC Tabata, Dar es Salaam. Kisima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

KUTOKA BUNGENI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia  ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

MAKAMU WA RAIS AZINDUA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI KATIKA KAMBI YA KIKOSI CHA JESHI LA KUJENGA TAIFA RUVU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

MKUTANO WA UKAWA USHIROMBO MKOANI KAGERAKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa, akihutubia mkutano wa hadhara huku mamia ya wananchi wakimuonesha vidole vitatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AHANI MSIBA WA BABA YAKE ROSTAM AZIZI JIJINI DAR LEO Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji waliofika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

WAMACHINGA WANAOFANYA KAZI ZAO KWENYE VITUO VYA DALADALA NA MABASI SASA KUONDOLEWANa John Banda, DodomaIMEELEZWA kuwa kitendo cha wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) kuzagaa sehemu za watembea kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

NSSF YAENDESHA KAMBI ZA UPIMAJI WA AFYA BURE KANDA YA ZIWAShirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeendesha  kambi za upimaji wa Afya Bure kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kwa kipindi cha mwezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

NSSF YAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGAWanachama wakipata huduma kwenye banda la NSSF.Ofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii (NSSF), Chiku Said akiwasikiliza...

View Article

Article 4

STARS KUWASILI LEO, PONGEZI ZAMIMINIKADAR ES SALAAM, TanzaniaKikosi cha Taifa Stars ambacho jana (Juni 1 mwaka huu) kiliitupa Zimbabwe (Mighty Warriors) nje ya michuano ya Afrika baada ya kutoka sare...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GEORGE TYSON KUAGWA J'TANO LEADERS

Na Elizabeth JohnMWILI wa aliyekuwa muasisi wa filamu za kibongo nchini, raia wa Kenya George Otieno ‘George Tyson’ unatarajiwa kuagwa keshokutwa katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HELA ZA DIMPOZ ZAZUA KIZAAZAA MWEMBE YANGA

 Na Elizabeth John INASEMEKANA hela alizorusha msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ katika shoo ya kuhamasisha usafi katika Wilaya ya Temeke, ndio chanzo cha vurugu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI SHEREHE ZA MAKABIDHIANO YA URAIS NCHINI MALAWIMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa na Rais mpya wa Malawi Prof. Arthur Peter...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>