Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19888 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE ARUSHA Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YOUNG KILLER, FID Q WAPOKELEWA KIFALME MWANZA

Na Elizabeth JohnWASANII wa muziki wa hip hop wanaouwakilisha mkoa Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ na Erick Msodoki ‘Young Killer’ wanatarajiwa kupokelewa kifalme katika mkoa huo baada ya kuchukua tuzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE ATAKA KUFANYA KAZI NA J LO, RIHANA

Na Elizabeth JohnMWANADADA anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ au ‘Shilole’, amesema malengo yake katika tasnia hiyo ni kufanya kolabo na msanii wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA WANASAYANSI NA MABINGWA WA TIBA JIJINI DAR LEO Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

Ako Labamba yajitosa Miss UbungoNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKLABU ya Ako Labamba ya jijini Dar es Salaam imejitosa kudhamini shindano la Miss Ubungo litakalofanyika mwezi ujao.Akizungumza jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND APENYA TUZO ZA BET

Na Elizabeth JohnBAADA ya kupewa nafasi ya kushiriki tuzo ya Televisheni ya Marekani (BET), akiwa ni msanii pekee ambaye anaiwakilisha Afrika Mashariki, Naseb Abdul ‘Diamond Platinum’ amesema...

View Article

Article 0

MBUNGE WA SIMANJIRO AHOJI KUONDOLEWA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA TANZANITENa Mwandishi Wetu, ArushaMBUNGE wa   Simanjiro ,Christopher Ole Sendeka ameitaka Wizara ya Nishati na Madini kupitia waziri wake,...

View Article

Article 2

TUMEDHAMIRIA KUIPASHA TANZANIA KIMATAIFANa Saidi MkabakuliSerikali imeweka wazi mkakati wa kuainisha fursa za kipaumbele zitakazoiwezesha kuivusha nchi kikanda na kimataifa kwa kusimamia na kufuatilia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

SULEIMAN TALL,DULA MBABE  ULINGONI  MAY 24Bondia mzoefu wa ngumi za kulipwa nchini Suleiman Galile ”tall” anategemea kupanda tena ulingoni may 24 katika ukumbi wa friends corner manzese kuzipiga na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

KINANA AFANYA ZIARA MKOANI TABORA KUIMARISHA CHAMA Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Urambo Ndugu  Samuel Sitta wakati wa mapokezi katika kijiji cha Izimbili wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 24

MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO LEO MAKABURI YA KINONDONI, DARFamilia ya bwana Sijaona Simon wa Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi ndugu Simon Malosha kilichotokea siku...

View Article

Article 23

KUIONA TAIFA STARS, MALAWI 5,000/-Kiingilio cha chini cha mechi ya kirafiki kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Malawi (Flames) itakayofanyika Jumanne (Mei 27 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 22

MASHINDANO YA DARTS YAZINDULIWA MKOANI MOROGORO, TIMU TISA KUSHIRIKINa Matukiotz BlogWANACHAMA wa chama cha Darts Taifa (TADA) wameyaomba makampuni yanayodhamini michezo mbali mbli nchini kuwekeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 21

RAIS KIKWETE AMJULIA HALI MAMA YAKE ZITO  Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali Shida Salum ambaye ni mama wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 20

\Kusaka heshima kwamchanganya Mb DogNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog (pichani), amesema baada ya kuachia video yake ya ‘Mbona Umenuna’,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 19

TAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati wa...

View Article

Article 18

MORAVANIAN WATAKA SULUHUNa Lucy NgowiKATIBU wa Mawasiliano Jimbo la Misheni Mashariki katika kanisa la Moravian, Emaus Mwamakula ameshauri kuwepo na suluhu miongoni mwa pande mbili za kanisa hilo...

View Article


Article 17

TAIFA STARS, MALAWI UWANJANI DARTaifa Stars na Malawi (Flames) zinapambana kesho (Mei 27 mwaka huu) katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 11...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 16

Msama ampongeza Mwakyembe kuifufua ATCLMkurugenzi wa Msama Promotins Alex Msama (kulia),  akiwa na Mratibu wa Tamasha la Pasaka John Melele, wakifurahia kusafiri na Jet 103 ndege ya ATCL hivi karibuni....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) YAFANYA ZIARA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI KUJIONEA UTUNZAJI WA MISITU YA CHOME, SHENGENA-KILIMANJAROKibao kionesha eneo la Hifadhi ya Mazingira ya Asili...

View Article
Browsing all 19888 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>