Rais Samia ahutubia kwenye Maadhimisho ya Mkutano wa 20 wa Shirikisho la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maaskofu kutoka nchi mbalimbali Barani Afrika pamoja na baadhi ya viongozi katika maadhimisho ya mkutano wa 20 wa...
View ArticleFAHAMU SABABU ZA KUDHIBITI MIONZI KWENYE MNYORORO WA BIDHAA
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC),wakitoa maelezo juu ya Tume hiyo kwa watu waliotembelea banda lao.Na Asha MwakyondeMKUU wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Tume ya Nguvu...
View ArticleABDULRAHMAN KINANA ASAIN KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA KOMRED DOS...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana amesaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi...
View ArticleWACHEZAJI WA MPIRA WA KIKAPU KUTOKA MAREKANI WAENDESHA MAFUNZO KWA VIJANA NA...
Tarehe 12 Julai, Ubalozi wa Marekani kwa kushirikiana na Taasisi ya Familia ya Brogdon, Jr. NBA Africa na Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park wamewakaribisha wachezaji wa mpira wa kikapu wa Kimarekani...
View ArticleWADAU WATAKA BODI HURU YA ITHIBATI YA HARARI
NA MWANDISHI WETUMJUMBE wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Nevile Meena amesema Bodi ya Ithibati ya Habari ikiwa itaundwa na Serikali basi itakosa uhuru wa kufanya uamuzi pale...
View ArticleBenki ya NMB yazindua kifurushi cha mikopo kwa walimu kanda ya ziwa
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel (kulia), akipiga makofi sambamba na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara NMB, Filbert Mponzi (wa pili kushoto), baada ya kuzindua programu ya...
View ArticleMwanafunzi abuni roboti kutambua vifaa vya milipuko
NA TATU MOHAMED MWANAFUNZI wa Mamlaka ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA) Kigoma, Innocent Simon ametengeneza roboti (military security Robort) kwa ajili kusaidia kutambua vilipuzi na mahali ilipotegwa...
View ArticleCPB YASAJILI WAKULIMA ZAIDI YA 6000
NA TATU MOHAMED MKURUGENZI Mtendaji wa BODI ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), Dk. Anselm Moshi amesema kuwa zaidi ya wakulima 6000 nchini wameingia katika mfumo wa kulima kilimo cha...
View ArticleProf. MKENDA: WAOMBAJI MIKOPO 2022-2023 SOMENI MWONGOZO
Waziri wa ElLmu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mwongozo wa Uombaji Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo 2022/2023....
View ArticleTRC, CCTTFA wasaini Mkataba wa Ukarabati wa Behewa 20 za mizigo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa akitia saini Mkataba wa Ukarabati wa Behewa 20 za mizigo na Taasisi ya Ushoroba wa Kati. Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamShirika...
View ArticleJeshi la Polisi Kanda Maalumu lawashikilia wawili kwa mauaji, nane kwa wizi...
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro. Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji...
View ArticleSIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA
Afisa habari wa Simba, Ahmed Ally, akimtambulisha kwa waandishi wa habari kocha mpya wa timu hiyo, Zoran Maki. Kocha huyo ataambatana na kikosi cha Simba katika Pre Season ya maandalizi ya msimu mpya...
View ArticleGesi asilia kuchochea fursa za kiuchumi mikoa ya Kusini
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Uchimbaji Gesi na Mafuta (OGAWOGA), Frank Mwankefu akizungumza na waandishi wa habari namna PURA ilivyosaidia wao kuaminika na kupata kazi kwenye makampuni ya...
View ArticleRC SINGIDA APIGA MARUFUKU WANANCHI KUCHOMA MKAA NDANI YA MSITU WA MGORI
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Binilith Mahenge akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mughanga kilichopo Tarafa ya Mgori Wilaya ya Singida, kuhusu uharibifu unaofanyika katika Hifadhi ya Msitu wa Mgori...
View ArticleHatimaye! Rayvanny Out WCB
Msanii wa kizazi kipya Raymond Shaban Mwakyusa 'Rayvanny' ameiaga rasmi lebo ya WCB Wasafi ambayo alikuwa akifanya nayo kazi zake za kimuziki. "Ni miaka 6 sasa tangu tumeanza kufanya kazi pamoja my...
View ArticleErik ten Hag: Ronaldo ang'oki ng'o
Kocha wa Manchester United Erik ten Hag ameweka wazi kuhusu stori zinazomuhusu mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo (37), kutaka kuondoka klabuni hapo. Erik ten Hag alisema kuwa “Nilizungumza na...
View ArticleR Kelly amchumbia mrembo licha ya kuhukumiwa miaka 30 jela
Mwanamuziki Robert Kelly 'R Kelly' (55), amemchumbia mchumba yake Joycelyn Savage licha ya kutegemea Kusota kwa kipindi kirefu gerezani, hii haijawa sababu ya penzi lake la muda mrefu na mrembo huyo...
View ArticleChongolo awataka watendaji kuweka nguvu kwenye uwekezaji
Na Jasmine Shamwepu, DodomaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Daniel Godfrey Chongolo ametoa wito kwa ngazi zote za Watendaji kuanzia Tawi, kata, Wilaya na Mikoa yote nchini kuwekeza nguvu...
View ArticleKAMBOLE: SHERIA HUDUMA YA HABARI INAKIUKA MKATABA WA AFRIKA MASHARIKI
WAKILI Msomi Jebra Kambole amesema mabadiliko yoyote yanayotakiwa kufanyika katika sheria mbalimbali ikiwemo ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 ni muhimu kuwashirikisha wadau wote ili kutorudia makosa...
View ArticleProfesa arudisha mshahara wa Tsh mil. 58.7
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni hivi ndivyo unavyoweza kusema kwa Profesa Lallan Kumar ambaye ni Mhadhiri wa Chuo kiitwacho Nitishwar nchini India ameamua kurudisha mshahara wake wa miaka...
View Article