WIZARA YA MAMBO YA NJE NA NSSF ZAJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI NJE YA NCHI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii - NSSF, Bw. Masha Mshomba...
View ArticleMSOKOLO ARUDI CCM, ATAMBA KULETA MAGEUZI MAKUBWA CCM
 Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Nungwi Zanzibar kupitia Chama cha Demokrasia Makini, Hussein Ramadhan Layya maarufu Msokolo. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar ALIYEKUWA Mgombea ubunge jimbo la Nungwi...
View ArticleIGP SIRRO: TARI FIKENI VIJIJINI KUTOA ELIMU YA AFYA YA UDONGO
 Na Asha MwakyondeMKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro ameiomba Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI),kutoa elimu ya afya ya udongo vijijini kwa kuwa taasisi hiyo ndiyo itakayookoa...
View ArticleCHUO CHA MWALIMU NYERERE CHABUNI MFUMO WA KUJAZA MAJI KWA NJIA YA SIMU
 Mbunifu Zacharia Lymo akionyesha mfumo unavyofanya kazi.Na Asha MwakyondeCHUO Cha Kumbukumbu Mwalimu Nyerere kimekuja na bunifu ya kuwasha Bomba 'Pumb' kwa mfumo wa kutumia simu ya mkononi kujaza maji...
View ArticleNFRA YATOA ELIMU MATUMIZI YA VIUATILIFU
Profesa Anna Tibaijuka akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea banda la Walaka wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA). Na Asha MwakyondeWAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA),imesema kuwa...
View ArticleWAZIRI MKUU AKABIDHI MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI RUANGWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 08, 2022 amekabidhi mikopo yenye jumla ya shilingi, 256,158,000 iliyotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa vikundi 27...
View ArticleTAASISI YA JAI YAWAFARIJI WAGONJWA KWA MISAADA
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Issa Nassoro akionesha upendo kwa kumnywesha maji, mgonjwa Hawa Hassan kutoka Shelui, ambaye amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Singida wakatiakiwaongoza Wanajumuiya wa Taasisi...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK. HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA...
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akitekeleza Ibada ya Suna ya kuchinja, baada ya kumaliza Sala ya Eid Al Hajj iliyofanyika Kitaifa Mkoa wa Kaskazini...
View ArticleUCHAGUZI WA BABA NA MWANA
Adeladius Makwega-CHAMWINO IKULUÂ Kuna wakati pahala fulani Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam walikuwa wakifanya uchaguzi wa jumuiya zake ndogo ndogo, nafasi zikatangazwa na kutoa fursa kwa...
View ArticleRAIS SAMIA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe...
View ArticleSMZ yatoa bei elekezi ya Mchanga
Na Talib Uss, ZanzibarSerikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema itamchukulia hatua mwananchi atakayefanya biashara ya mchanga bila kufuata utaratibu, Wizara ya Maji, Nishati na Madini (WMNM)...
View ArticleRais Samia asaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Japan na Angola...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 11 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa...
View ArticleMkojo wa Sungura kutumika kukufukuza wadudu shambani
NA TATU MOHAMED CHUO Kikuu cha Mzumbe kimekuja na ubunifu wa mkojo wa Sungura kutumika kwa kilimo cha matunda na mbogamboga ili kufukuza wadudu waharibifu. Katika kufanya tafiti zake, imegundulika...
View ArticleVETA KIHONDA YAWAITA WAWEKEZAJI KWENYE KILIMO
NA TATU MOHAMED MAMLAKA ya  Elimu na Ufundi Stadi (VETA) ,Kihonda Morogoro, kimewasihi wawekezaji nchini kuja kuwekeza katika sekta ya kilimo kwani upatikanaji wa malighafi za kilimo kwa sasa...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU YAONDOKA NA MKURUGENZI WA JIJI KWA TUHUMA ZA UBADHIRIFU...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam, Bw. Jumanne Shauri pamoja na watumishi wengine tisa wa jiji hilo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA PSSSF DKT. AGGREY MLIMKA AFURAHISHWA NA MATUNDA...
MAKAMU Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Dkt. Aggrey Mlimuka ametembelea banda la USHIRIKIANO linalotumiwa na Mfuko huo na ule wa NSSF kwenye...
View ArticleRAIS DK. MWINYI AHIMIZA WANANCHI KUWALEA WATOTO YATIMA
 Na Mauwa Mohammed Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Husein Ali Mwinyi amesema suala la kuwashughulikia na kuwatunza watoto yatima ni jambo jema sana mbele ya mwenyezi...
View ArticleAfisa Mtendaji Mkuu wa NMB atunukiwa Tuzo ya uongozi bora wa biashara Afrika
Afisa Mkuu wa Teknolojia na Mabadiliko ya Kidijitali wa NMB - Kwame Makundi akipokea tuzo maalum ya uongozi wa biashara barani Afrika mwaka 2022 kutoka kwa Waziri wa Biashara Ofisi ya Waziri Mkuu wa...
View ArticleWananchi waitwa kuijua TET
Na Irene MarkTaasisi ya Elimu Tanzania ( TET) imewaomba wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kutembelea katika banda lao lilipo Jakaya Kikwete kwenye maonesho ya 46 ya kitaifa ya kibiashara maarufu...
View ArticleMAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) YAFURAHIA UTENDAJI KAZI WA BARAZA LA...
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la TEA Bi. Bahati Geuzye (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati wa kikako cha Baraza hilo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni mwakilishi wa Mkurugenzi wa...
View Article