Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANDAO WA ELIMU TANZANIA KUADHIMISHA JUMA LA ELIMU WILAYANI RORYA

Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Ochola Wayoga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na Maadhimisho ya Juma la Elimu (Global...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAWADI MISS KAGERA 2021 HII HAPA

 Mkuu wa wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawilo akizunguza baada ya kuzindua zawadi ya gari kwa ajili ya mshindi wa taji la miss Kagera 2021.Mkuu wa wilaya ya katika majaribio ya gari hilo jipya.Mwekezaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUNENGE ATUA BAGAMOYO KWA KISHINDO AANZA KUWAPA SOMO WATAALAMU WAZEMBE KATIKA...

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kungenge akiwa amenyanyua zawadi maalumu aliyopatiwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Bagamoyo kwa ajili ya kukaribishwa rasmi, kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE.CHAMUHIRO ATEMBELEA BANDA LA BRELA KATIKA MAONESHO YA WADAU WA SEKTA YA...

Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Mhandisi Leonard Chamuhiro, akipatiwa maelezo na maafisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), alipotembelea banda hilo mapema leo, baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA: NACTE VISAIDIENI VYUO KUTOA ELIMU YENYE KUKIDHI MAHITAJI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) liimarishe usimamizi na kuvisaidia vyuo kutoa elimu inayozingatia viwango vya ubora na vyenye kukidhi mahitaji ya soko...

View Article

Serikali kuweka sera nzuri kwa Vyuo vya Ufundi na Sekta Binafsi

 Na Jasmine Shamwepu, DodomaWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuweka sera nzuri zinazotoa fursa kwa Vyuo vya ufundi na  sekta binafsi  ili kuhakikisha mafanikio...

View Article

Marie Stopes, Lavy Pads washerehekea hedhi salama

Na Irene MarkSiku ya hedhi duniani huadhimishwa kila mwaka, siku ya tarehe 28 Mei. Siku hii ina lengo la kuwakutanisha wadau mbalimbali kwa dhumuni la kuongeza uelewa kuhusu maswala ya hedhi  na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA: MARA WEKENI MKAKATI WA KUITANGAZA MBUGA YA SERENGETI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mwongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mara kwenye ukumbi wa Bishop Rudin uliopo kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Mwembeni mjini Musoma, Mei...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASILIAMALI WAASWA KUZALISHA BIDHAA ZENYE BORA

 ********Wajasiriamali kote nchini wameaswa kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kuweza kuhimili ushindani katika soko la ndani na kimataifa.Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe ameyasema hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIVUMBI CHA MASHINDANO YA UMITASHUMTA MKOA WA PWANI CHAZINDULIWA RASMI

 Baadhi ya wanafunzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga wakiwa katika maandamano huku wakipiga saluti kwa mgeni rasmi hayupo picha wakati wa ufunguzi wa michuano ya umoja wa michezo na taaluma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAITARA ATAKA TATHMINI MV MBEYA II

 Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, akishuka katika chelezo kilichopo bandari ya Kiwira, mara baada ya kukagua chelezo hicho wilayani Kyela, Mkoani Mbeya.   Naibu Waziri wa Ujenzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB yazindua jukwaa la kuwawezesha vijana

  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, Patrobas Katambi  (wapili kulia), Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe (wa tatu kulia) na Afisa Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taaasisi ya MOI ina uhitaji wa damu

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dkt. Respicious Boniface. NA ASHA MWAKYONDE. DAR ES SALAAMMKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dkt. Respicious Boniface...

View Article

ACT yahimiza mshikamano

 Mjumbe  wa  Kamati Kuu ya  Chama  cha  ACT  Wazalendo ambae  pia  ni  Makamo  wa Kwanza  wa  Rais Zanzibar    Othman  Masoud  Othman  amewataka  wanachama wa chama  hicho  kushikamana  kwa pamoja  ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAMBA LENYE EKARI 100 LINAUZWA,LIMEPIMWA

Shamba lenye Ekari 100  ambalo tayari limeishapimwa linauzwa .Mahali: Shungumbweni, Mkuranga karibu na Kiwanda cha Chumvi Neel SaltBei: Mil.150,000,000 (mazungumzo yapo) .Umbali: Kilomita 5 kutoka...

View Article

VIONGOZI TUMIENI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2021 KUTATUA CHANGAMOTO...

Na James Mwanamyoto-KaremaKatibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro amewataka viongozi katika Taasisi za Umma kutumia Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZALISHAJI WA MAZIWA TANGA WAJIUNGA NA NHIF KWA KUWEZESHWA NA BENKI YA CRDB

Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB Dkt. Joseph Witts kushoto akiwa Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama wa NHIF, Christopher Mapunda kulia wakisaini  makubaliano na Wazalishaji wa Maziwa kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabalozi Wahimizwa Kulitumia Bakita

 Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul ametoa wito kwa mabalozi wa nchi mbalimbali zilizopo hapa nchini kulitumia Baraza la Kiswahili la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO ATOA MIEZI MIWILI KWA UONGOZI WA KIWANDA CHA QUAIM STEEL MILLS...

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa viongozi wa kiwanda cha Quaim Steel Mills limited mara baada ya kutembelea kiwanda hicho katika...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>