Quantcast
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NCHIMBI AMKABIDHI RASMI OFISI MKUU MPYA WA MKOA WA SINGIDA

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi (kulia)  akimkabidhi kabrasha  Mkuu wa Mkoa huo Mpya Dkt. Bilinith Mahenge katika hafla iliyofanyika ofisi ya mkuu wa mkoa mjinini hapa.Aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meja Jenerali Charles Mbuge awasili mkoani Kagera

  Meja Jenerali Charles Mbuge akipokelewa baada ya kuwasili mkoani Kagera. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akimpokea mkuu mpya wa mkoa huo Meja Jenerali Charles Mbuge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB yaendesha semina ya walimu kuwapa elimu ya fedha

Washiriki wa Semina ya walimu wakuu wa Shule za msingi na wakuu wa Shule za Sekondari zilizopo Mkoa wa Arusha, wakisikiliza hotuba ya mgeni rasimi kwenye uzinduzi wa semina ya  mafunzo ya bidhaa za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AWESO ATOA ONYO KALI JUMUIYA ZA MAJI, AJA NA SULUHISHO LA KUMALIZA...

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso,ameagiza kuvunjwa kwa Jumuiya ya Maji katika kijiji cha Berege wilayani Mpwapwa huku akitoa onyo kali la ubadhilifu wa fedha za Jumuiya ya watumia maji katika mradi wa maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Afya yaanza utekelezaji wa maboresho ya huduma za matibabu kwa Wazee

Na WAMJW-DodomaWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeanza kufanya ufuatiliaji  wa maelekezo yake  katika kuboresha huduma za matibabu kwa wazee kwenye vituo vya kutolea huduma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADO SHAIBU AKABIDHI SARUJI MSIKITI WA MSINJI-TUNDURU

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ambaye pia alikuwa Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Tunduru Kaskazini Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, leo amekabidhi Mifuko thelathini (30) ya Saruji kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA REA

 NA HAMIDA RAMADHANI, DODOMAWAZIRI wa Nishati Medard Kalemani amewaagiza wakandarasi wa mradi  wa wakala wa umeme vijijini (REA) awamu ya tatu mzunguko wa pili kuhakikisha hadi kufikia 2022 vijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tutamuenzi hayati JPM kwa kutimiza ahadi zake Veta

 Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Dk. Bujulu akitoa maelekezo kwa Waziri Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako na Balozi wa China hapa Tanzania, Ke kuhusu  vifaa vilivyotolewa na serikali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI SIMAMIENI HAKI, MAENDELEO KATIKA UKUSANYAJI MAPATO-MKUU WA MKOA WA...

Na Lydia Lugakila, BukobaAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia  Jenerali Marco Gaguti amekabidhi rasmi ofisi za mkoa tayari kuelekea Mtwara kituo chake kipya cha kazi, Brigedia Gaguti amekabidhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKALLA AONYA MAJAMBAZI DAR AAGIZA POLISI KUYAKAMATA

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa huo, Amos Makalla, akizungumza kuhusiana na watu wanaojihusisha na ujambazi na kuliagiza Jeshi la Polisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Makalla akutana na Wazee wa CCM Dar, awaahidi ushirikiano

 Na Hussein Ndubikile, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Amos Makalla  ameanza rasrmi majukumu yake kwa kukutana na Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa huo na kuahidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mikopo ya NMB Masta Boda sasa yatua rasmi Kanda ya Kaskazini

  Kutoka Kushoto: Mwendesha bodaboda wa Jijini Arusha Stella Nguma, Mkuu wa kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB Alex Mgeni, Mwenyekiti wa chama cha pikipiki za miguu mitatu Twaha Mpera, Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maelekezo ya Rais Samia, IMF yaanza kutekelezwa

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia)akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Fedha Kimataifa (IMF) nchini, Bw. Jens Reinke (kushoto) katika kikao kilichofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI TUNDURU WATAKIWA KUTUMIA VYEMA UJUZI WA KUKABILIANA NA TEMBO

Afisa Wanyamapori Wilaya ya Meatu, Revocatus Menei akitoa maelekezo ya namna ya kutumia tochi maalum kufukuza tembo kwa baadhi ya wanakijiji cha Jakika Wilaya ya Tunduru katika mafunzo kwa vitendo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vyuo Vikuu vyahimizwa kufanya tafiti zenye tija kijamii na kiuchumi

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Mhadhiri Mwandamizi Idara ya Sayansi na Teknolojia, Dk. Lilian Kaale alipotembelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakinyo kumpa asante Rais Samia kwa kumchapa Mayala

Bondia Hassan Mwakinyo ameahidi kumpa kipigo kikali mpinzani wake  Antonio Mayala kutoka Angola ikiwa asante kwa Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.Mwakinyo ambaye atawania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA PWANI AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO WILAYANI RUFIJI...

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Aboubakar Kunenge akizungmza katika kikao cha wadau wa zao la Ufuta kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha ufundi stadi  cah (FDC) ambacho kilihudhuliwa na viongozi mbali mbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICIOS AJA NA KIMYAAAA, KIZITOOO

Mwanamuziki Mashughuli kutoka Congo na Afrika Mashariki - ALICIOS baada ya kutoa albamu yake 2020 na kufanya vizuri katika Mitandao maarufu ya kusikiliza muziki ndani na nje ya afrika . Mwezi huu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYA YA MANYONI YAZINDUA TASAF AWAMU YA TATU SEHEMU YA PILI

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa  Mfuko wa Maendeleo wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) kutoka Makao Makuu,, Peter Lwanda akisoma taarifa ya TASAF Awamu ya Tatu Sehemu ya  Pili wakati wa hafla ya uzinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMII YA WAFUGAJI MBARALI KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA MKURABITA KUBORESHA MAISHA YAO

Meneja Urasimishaji Ardhi Vijijini wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), Anthony Temu  (wa pili kulia) akiwaelekeza maafisa wa Halmashauri ya Wilaya ya...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>