WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA TIMU YA UCHUNGUZI WA MKONGE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati Maalum aliyoiunda ya kuchunguza zao la mkonge, Gerlad Kusaya baada ya taarifa hiyo kusomwa mbele ya Waziri Mkuu katika...
View ArticlePOLISI SINGIDA YAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA ZA WATU 14 KUUAWA WILAYANI...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike, akizungumza na waandishi wa habari kukanusha kuwepo kwa mauaji wilayani Manyoni. Waandishi wa habari mjini...
View ArticleMkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC Kufanyika tarehe 16 - 17 Machi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC utakaofanyika Machi 11 – 17 jijini...
View ArticleTANROADS TABORA YAOMBA BILIONI 23.3 MWAKA UJAO WA FEDHA ZA MATENGENEZO YA...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akifungua kikao cha Bodi ya Barabara cha Mkoa wa Tabora.Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania(TANROAD) Mkoa wa Tabora Ndamiani Ndabalinze akitoa mada jana wakati...
View ArticleBILIONI 50 KUJENGA KIWANJA CHA NDEGE CHA MTWARA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (katikati), akielekeza jambo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania...
View ArticleWafungwa 150 wapelekwa Kwitanga kulima Mchikichi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia) na Mkuu wa Gereza Kwitanga, Mrakibu Mwandamizi, Dominick Kazmil wakiangalia matunda ya mchikichi yaliyovunwa katika gereza...
View ArticleMadiwani Waazimia kuwawajibisha watumishi wanaokula njama na wakwepa ushuru
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mheshimiwa Steven Kayogolo akitoa maagizo ya mwisho kwa Afisa utumishi na Mwanasheria wa Halmashauri hiyo (hawapo pichani) juu ya kutafuta vifungu...
View ArticleBenki ya NMB yanogesha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Simiyu
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi - Sospeter Magesse (kushoto), akimkabidhi fulana 1800 Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu - Jumanne Sagini kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani....
View ArticleUfaransa yatumia Euro milioni 760 kuchangia maendeleo Tanzania
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Fr'ed'eric Clavier(wa tatu kulia) akiwa na maseneta sita kutoka nchini Ufaransa ambao wamekuja nchini kwa ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo. Balozi...
View ArticleMasauni-Wahamiaji Haramu kusakwa Nyumba za Wageni, Mahotelini
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongozana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwenda kukagua maeneo mbalimbali yanayosemekana yanatumika kupitisha wahamiaji...
View ArticleRAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASIASA MKONGWE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana...
View ArticleDStv yaja na ‘Jiongeze tukuongezee’
*Mteja akilipia kifurushi cha juu yake kuunganishwa cha juu zaidi bila gharama ya ziadaWateja wa DStv wanaendelea kufurahia ofa kabambe zinazotolewa na MultiChoice na sasa imezindua kampeni mpya ya...
View ArticleMOROGORO-DODOMA HAKUNA MAWASILIANO BAADA YA BARABARA KUKATIKA
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inautarifu Umma kuwa sehemu ya barabara eneo la Kiyegeya (Magubike) katika Wilaya ya Kilosa kwenye Barabara Kuu ya Morogoro – Dodoma imekatika na hakuna...
View ArticleMKURUGENZI TIGO TANZANIA ALIVYOSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Simon Karikari, akikimbia mbio za Tigo Kili Half Marathon 2020, zilizofanyika Jumapili mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
View ArticleKESI YA KUGOMBEA MALI ZA BILIONEA ULOMI YARUDI MAHAKAMANI KUTAKA MJANE AONDOLEWE
Mjane Zainabu Mkwama na mtoto wa marehemu Mume wake Julius Olomi wakiwa mahakamani wakipinga kutaka kuondolewa katika usimamizi wa mirathi. Na Mwandishi WetuKESI ya kugombea mali za marehemu bilionea...
View ArticleProf. Kabudi apokea hati za utambulisho kutoka UN, UNHCR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akimfafanulia jambo Mratibu Mkazi wa Shughuli za Umoja wa Mataifa (UN) Bw. Zlatan Milisic katika Ofisi...
View ArticleUshirikiano Serikali ya SMT na SMZ wazidi kupaa
Mwenyekiti wa kikao cha kujadili maeneo ya ushirikiano baina ya Serikali ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Mahmoud Omar Hamad, ambaye ni Mkurugenzi wa Mipango,...
View ArticleMBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA NA CCM
Akiwa katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole amepokea maombi ya kujiunga na CCM ya Mbunge mwingine wa CUF Ndugu Juma Hamad Omari Mbunge...
View ArticleVijana Wapo Hatarini Kupata Matatizo ya Usikivu
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo wa MNH-Mloganzila, Dk. Jonas Ndasika, akimfanyia uchunguzi wa awali mtoto Lailat Mohamed aliyefika hospitalini hapa kwa ajili ya kupimwa usikivu.Na...
View ArticleUTT--AMIS YATOA ELIMU JUU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASTAAFU WATARAJIWA WA TRA
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa UTT AMIS, Pamela Nchimbi, akitoa darasa juu ya Uwekezaji wa Pamoja katika semina iliyoandaliwa na IMED kwa wastaafu watarajiwa wa TRA jijini Morogoro.Baadhi ya washiriki wa...
View Article