Kamati ya Amani Mkoa wa Mbeya yaahidi Kupeleka ujumbe kwa waumini
Mmoja wa Mjumbe wa Kamati ya Amani ya Mkoa Mbeya akisoma ujumbe ambao ametumiwa ambao uanaonyesha ni Uhalifu wa utumiaji huduma za mawasiliano. Baadhi wa wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Mbeya...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA ELIMU AZINDUA UGAWAJI WA VITABU VYA KIADA
Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dk. Aneth Komba, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa usambazaji vitabu vya kiada darasa la 1 mpaka V kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza na...
View ArticleDK. MWAKYEMBE KUTETA NA RIADHA
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe anatarajiwa kuwa na kikao na uongozi wa Riadha pamoja na wadau wa mchezo huo kitakachofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro, Jumapili...
View ArticleNAIBU WAZIRI MABULA ATAKA KASI YA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA KWANGWA MUSOMA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelitaka Shirika la Nyumba la Tiafa (NHC) kuongeza kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kwangwa iliyopo Musoma mkoa wa Mara...
View ArticleSIO WANAWAKE TU HATA WANAUME WANAPIGWA WANANYANYASWA- RC MBEYA
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. William Paul Ntinika akizungumza na vikundi vya wanawake wajisiriamali walijitokeza kuupokea msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wa kijinsia ulipowasili mkoani hapo....
View ArticleRC TABORA ASEMA HALMASHAURI ISIYOTENGA SHILINGI 1,000 KWA KILA MTOTO CHINI YA...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akifungua jana kikao cha tathimini ya nusu mwaka ya mkataba wa lishe kwa ngazi ya Mkoa. Afisa Lishe Mkoa wa Tabora Monica Yesaya akitoa maelezo mafupi jana kuhusu...
View ArticleTHBUB, LHRC wajipanga kutoa elimu ya haki za binadamu mashuleni
Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu, akizungumza katika kikao cha majadiliano kilichowakutanisha ujumbe wa THBUB na Viongozi wa LHRC kwenye ofisi za kituo hicho jijini Dodoma Februari 27,...
View ArticleSAOHILL WAGAWA MICHE MILIONI MOJA KWA WANANCHI
Wananchi wakiendelea kuchukua miche ya miti kutoka Tarafa ya Nne ya Shamba la Miti SaoHill - Mgololo.Na Fredy Mgunda, SAO HILLZAIDI ya miche milioni moja imegawiwa kwa wananchi wa vijiji...
View ArticleRC HAPI: TAKUKURU CHUNGUZENI KAMPUNI YA MWENGA HYDRO
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi akitoa maagizo kwa TAKUKURU kuhusu kampuni ya Mwenga Hydro iliyopo katika wilaya ya Mufindi.Na Fredy Mgunda, IRINGAMAMLAKA ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
View ArticleMKUU WA MKOA WA SINGIDA DKT,REHRMA NCIMBI AWATAKA WAJUMBE WA JUKWAA LA HAKI...
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Bw. Biswalo Mganga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Mahakama na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto kwake) baada ya kuzindua...
View ArticleMEMBE AFUKUZWA UANACHAMA CCM
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM imeazimia kwa kauli moja kumfukuza uanachama aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe.
View ArticleUFARANSA YATOA EURO MILIONI 1.49 KUSAIDIA KILIMOHAI
Na Irene Mark, ZanzibarSHIRIKA la Maendeleo la Ufaransa limetoa Euro milioni 1.49 kufadhili shughuli za Kilimohai kwenye nchi tatu za Afrika ambazo ni Tanzania, Uganda na Comoro.Fedha hizo asilimia 90...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MSIKITI WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua makabati maalumu kwa ajili ya kuwekea viatu vya waumini wakati wa swala alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa...
View ArticleTANZANIA INAFANYA VIZURI KWENYE KUPUNGUZA TB KWA ASILIMIA 75
Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akiongea na wataalam kutoka ndani na nje ya nchi (hawapo pichani) wakati wa kupokea ripoti ya tathimini ya mapitio ya mpango mkakati wa TB na Ukoma.Baadhi ya washiriki wa...
View ArticleWAKANDARASI WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MIRADI YA REA KWA WAKATI KUKATWA FEDH
KAIMU Mkurugenzi wa Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Amos Maganga kushoto akizungumza wakati wa ziara kufanya tathimini kuona wakandarasi wamefikia hatua gani mpaka sasa wametembelea...
View ArticleRestless Development yawafunda waandishi kuhusu FP, ukatili wa kijinsia
Ofisa Mradi wa Tutumize Ahadi unafadhiliwa na Shirika la Restless Development, Anna Winston, akizungumza na waandishi wa habari walioshiriki mafunzo ya Uzazi wa Mpango (FP) na ukatili wa kijinsia...
View ArticleBENKI YA CRDB YAWATAKA AKINAMAMA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA
Afisa Mahusiano Mwandamizi Wateja Wadogo wa Benki ya CRDB, Seuri Meijo, akimuelezea Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo (wa pili kulia) huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki ya CRDB kusaidia...
View ArticleMAWAZIRI WA SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA KUKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokuwa akiwapa...
View ArticleTAWA YAINGIZA BILIONI 16.8 KUTOKA KWA WAWINDAJI WA KITALII 519
AMamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori(TAW) inatarajiwa kupokea Wawindaji wa kitalii 519 mwaka 2020 ambao wataingiza mapato kiasi cha shilingi bilioni 16.8Naibu Kamishna wa TAWA, Iman Nkuhi alisema...
View Article