Article 22
SHUKURANI TOKA KWA FAMILIA YA MRUMAFamilia ya Mruma ya Dar es Salaam na Ugweno, Mwanga inatoa shukurani nyingi kwa ndugu,jamaa,marafiki, majirani na Watanzania wote waliojitokeza kuwa nao kwa njia...
View ArticleArticle 21
UTEUZI WA IGP MPYA NA NAIBU WAKE LEO IGP MPYA ERNEST MANGUNAIBU WA IGP ABDULRAHMAN KANIKI
View ArticleArticle 20
CCM YAIPONGEZA TUME YA KATIBAChama Cha Mapinduzi kimeipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini kwa kazi iliyofanya kuufikisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya hapa ulipofika. Akizungumza...
View ArticleArticle 19
WANACHAMA WAMNG'ANG'ANIA RAGE KUNG'OKA SIMBAWanachama wa Simba, wakizungumza kwenye ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo, Dar es Salaam., kupinga hatua ya Shirikisho la Soka Nchini TFF, kuridhia...
View ArticleArticle 18
CRDB, TFF KUELIMISHA MASHABIKI TIKETI ‘KIELEKTRONIKI’Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka tanzania (TFF), Boniface Wambura akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusu elimu...
View ArticleArticle 17
RAIS KIKWETE AMWAPISHA IGP MPYA PAMOJA NA NAIBU WAKE LEO Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam....
View ArticleArticle 16
FRANCIS MIYEYUSHO AMTWANGA MKENYA KWA KO Bondia Francis Miyeyusho (kushoto), akitupiana makonde na bondia Joshua Amukulu kutoka Kenya katika pambano la kufunga mwaka lililofanyika kwenye Ukumbi wa New...
View ArticleArticle 15
TASWA FC YAANZA MWAKA MPYA KWA KUICHAPA TWANGA PEPETA 1-0 Beki wa timu ya Taswa Fc Sufianimafoto (kulia) akiwania mpira na mshambuliaji wa Twanga Fc, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Bonanza la kufunga...
View ArticleArticle 13
Skylight Band yapagawisha mkesha wa mwaka mpya ndani ya Pantoni FB CHACHA jijini MwanzaDr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza waliojumuika na Skylight Band katika...
View ArticleArticle 12
CLOUDS MEDIA YASHINDWA KUTAKA KATIKA UWANJA WAKE WA NYUMBANI YAFUNGWA 2-1 NA GEBI PRESHA Mchezaji wa timu ya Clouds Media Group, Said Tully akiwania mpira kuku akizongwa na mchezaji wa ya timu ya Gebi...
View ArticleArticle 11
MTEMVU AZIDI KUGAWA KAZI KWA WATANZANIA UGHAIBUNI Mwenyekiti wa Wakala wa Kituo cha Kazi cha Bravo, ambaye pia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akimkabidhi Mkazi wa Chamazi, Dar es...
View ArticleArticle 10
ZITTO KABWE ATINGA MAHAKAMA KUU KUWEKA PINGAMIZI MKUTANO WA KAMATI KUU YA CHADEMA KUMJADILI Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (kulia), akiwa na wakili wake, Albart Msando wakitoka Mahakama Kuu...
View ArticleArticle 9
BOMU LAKUTWA KANDOKANDO YA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAMBomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam leo. Polisi...
View ArticleArticle 8
MSHINDI WA DROO YA BAILEYS APATIKANAMeneja wa vinywaji vikali kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti, Azda Amani akiongea kwa njia ya simu na mshindi wa kwanza wa droo ya Baileys, Adeline Gido (23) mkazi...
View ArticleArticle 7
WAAMUZI 11 WAPATA BEJI ZA FIFAShirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limewapatia beji waamuzi kumi wa Tanzania kwa mwaka 2014.Waamuzi wa kati waliopata beji hiyo ni Ramadhan Ibada, Oden...
View ArticleArticle 6
DK.SHEINAFUNGUA MAONESHO YA MIKA 50 YA MAPINDUZIRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk. Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi...
View ArticleArticle 5
LINDI SOCCER ACADEMY (LSA) WATEMBELEA OFISI ZA TANZANIA DAIMA Kiungo-mshambuliaji wa Lindi Soccer Academy (LSA), Hamdani Sarahani akimkabidhi Mhariri wa Habari wa gazeti la Tanzania Daima, Martin...
View ArticleArticle 4
HALMASHAURI TATU JININI MWANZA ZAKABIDHIWA MATREKTANaibu Waziri wa Maji, Binilith Mahenge akiwasha moja ya matrekta manane ya mradi wa majisafi na majitaka, yaliyokabidhiwa leo jijini Mwanza kwa miji...
View ArticleArticle 3
CHADEMA WAFANYA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa (kushoto) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa...
View Article