RED CROSS YAWAKUMBUKA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KIGOGO, TANDALE
Wafanyakazi wa Red Cross wakitoa misaada ya kibinadamu kwa watu waliokumbwa na mafuriko katika Kata za Kigogo na Tandale jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi WetuCHAMA cha Msalaba Mwekundu Tanzania (Red...
View ArticleJAMII YATAKIWA KUSHIKANA KATIKA MASUALA YA MAENDELEO
Na Asha MwakyondeJAMII imetakiwa kuwa na mshikamano katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo ambayo yana tija kwa taifa.Haya yalisemwa jijini Dar es Salaam na Katibu Mwenezi wa Kata ya Kivule, Bihimba...
View ArticleJENGO LA KITENGO CHA WATOTO CHA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO LA JKCI...
Mkuu wa Kitengo cha Matibabu ya Moyo kwa Watoto katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ambaye pia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto Dkt. Naiz Majani akisimamia upimwaji wa mtoto...
View ArticleTAASISI YA KIRAIA YA AQUA-FARMS YAADHIMISHA SIKU YA BAHARI DUNIANI KWA...
Mkurugenzi wa Aqua-Farms Organization Bw. Jerry Mang'ena akitoa neno la ufunguzi wakati wa kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani lililofanyika BUNI Hub jijini Dar es Salaam, ambapo...
View ArticleMBUNGE AKABIDHI VIFAA VYA UMEME NA SARUJI KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Taifa Edward Simbey akizungumza jana na wananchi Kijiji cha Kwebada Kata ya Kwebada wilayani Muheza wakati Mbunge wa...
View ArticleMAOFISA WAOMBA USM KUTENGEWA BAJETI
Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG), Emmanuel Lyimo, akizungumza na maofisa misitu, maliasili, kilimo, ardhi, sheria na maendeleo ya jamii kutoka wilaya 16 baada...
View ArticleOFISA WA TRA, POLISI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA RUSHWA
Watuhumiwa wa kosa la kuomba rushwa ya shilingi milioni mbili ambao ni askari Polisi wakitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Juni 10, 2019 kwa kosa la...
View ArticleHospitali ya Aga Khan kufanya upasuaji bure kwa wanawake na watoto walioungua...
Na Janeth JovinHOSPITALI ya Aga Khan kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (NMH) na madaktari bigwa kutoka nchini Marekani wanatarajia kuwafanya upasuaji bure kwa wanawake na watoto wa...
View ArticleKANYASU AISHAURI BENKI YA NMB KUSAIDIA UTALII KUSINI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (kulia), akimsikiliza Mkuu wa malipo na akaunti wa Benki ya NMB, Michael Mungure, alipotembelea banda la benki ya NMB ambao ni wadhamini wa...
View ArticleMahakama Kuu Mtwara kusikiliza shauri la Mirathi Juni 11
Na Makuburi Ally, MtwaraOMBI la mirathi kati ya Mohamed Mussa dhidi ya Jamaldin Mtonya na Kuruthum Mtonya linatarajia kusikilizwa Juni 11, 2019 Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara.Shauri hilo lililokuwa...
View ArticleWAZIRI MKUU AZIAGIZA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA MICHEZO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Selemani Jafo wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mtwara kufungua michezo ya UMISETA kwenye uwanja wa...
View ArticleBETHEL MISSION SCHOOL YATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANANCHI
Mkurugenzi wa Bethel Mission School, Emmanuel Mshana, akitoa hotuba ya utangulizi, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mafunzo ya Ujasiriamali kwa ajili ya wafanyakazi wa shule hiyo pamoja...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA, ASHUHUDIA AIRTEL WAKITOA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimuapisha Bw. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Kichere Ikulu jijini Dar es Salaam Juni 10, 2019. A1: Rais...
View ArticleLUKUVI AKUTANA NA BUTIKU KUJADILI USHIRIKIANO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi (Kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku walipokutana jijini Dodoma Juni 10, 2019 wakati...
View ArticleRAIS MAGUFULI AIPAISHA SEKTA YA AFYA MARADUFU
Na Dotto Mwaibale, DodomaMKUU wa Wilaya ya Dodoma mjini, Patrobass Katambi, amesema Rais Dkt.John Pombe Magufuli ameipaisha sekta ya afya maradufu kwa kutenga bajeti kubwa ya ununuzi wa dawa, vifaa...
View ArticleDk. Agnes Kijazi ajitosa kinyang’anyiro cha Umakamu wa Tatu wa Rais WMO
Na Christopher Philemon, Monica Mutoni-Geneva Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dk. Agnes Kijazi yupo nchini Uswisi–Geneva kwenye Mkutano wa 18 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani...
View ArticleKISENA, WENZAKE WARUDISHWA RUMANDE
Robert Kisena.Na Janeth JovinUPANDE wa Jamhuri katika kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART), Robert Kisena (46) na wenzake wanne...
View ArticleSPIKA WA BUNGE LA RWANDA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE...
Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Rwanda pamoja na wajumbe wa umoja huo(wote hawapo kwenye picha) katika kikao...
View ArticleKESI YA KUTEKWA KWA 'MO' YANGURUMA KISUTU
Na Janeth JovinUPANDE wa mashtaka katika kesi ya kumteka nyara Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji maarifu MO inayomkabili dereva Taksi na Mkazi wa Tegeta , Mousa Twaleb (46), umedai katika...
View ArticleMahakama yahamuru Wema Sepetu akamatwe
NA JANETH JOVINMsanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu (pichani) yuko matatani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa hati ya kumkamata kwa kuruka dhamana.Wema anakabiliwa na mashtaka ya...
View Article