ONYESHO LA EID AL FARIS KUUNGURUMA IJUMAA JUNI 7 DAR ES SALAAM
Mratibu wa Onyesho la muziki lijulikanalo kama ‘The Eid Al Faris 2019", Antonio Nugaz, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Juni 6, 2019, wakati wa kutambulisha onyesho hilo....
View ArticlePOLISI WAFANYA OPERESHENI KALI KATIKA MAKAZI YALIOTUMIWA NA WAHALIFU...
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberates Sabas, akikagua mradi wa ujenzi wa Nyumba za Askari Polisi uliofadhiliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John...
View ArticleACB YAKABIDHI VIFAA VYA USAFI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA 2019
Na George Binagi-GB Pazzo, BMGKatika kuadhimisha kilele cha Siku ya Mazingira Duniani Juni 05, 2019, benki ya Akiba 'Akiba Commercial Bank' imekabidhi vifaa vya usafi kwa uongozi wa Soko Kuu jijini...
View ArticleENDELEZENI UADILIFU MLIOUONESHA KIPINDI CHA MFUNGO-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Abubakar Zuberi Bin Ally, Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kushiriki katika Baraza la Eid kwenye...
View ArticleMWENDA ASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID NA WATOTO YATIMA WA MAUNGA
Meya Mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Juma Mwenda na Mkewe, Tausi Sangawe Mwenda wakigawa zawadi kwawatoto wanaoelelewa katika kituo ha watoto yatima cha Maunga nyumbani kwake Mikocheni jijini...
View ArticleNMB YATOA MSAADA WA MADAWATI 150 NA VIFAA TIBA WILAYANI MKURANGA
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwandege wilayani Mkuranga wakibeba madawati na viti mara baada ya kukabidhiwa na viongozi wawakilishi wa Benki ya NMB.Benki ya NMB imezipiga jeki shule...
View ArticleMKAA ENDELEVU WAINGIZA BILIONI 3/-
Meneja Mradi wa TTCS, Charles Leonard, akitoa mada kuhusu Mkaa endelevu kwa maofisa mbalimbali kutoka wilaya 19 nchini.Na Suleiman MsuyaMRADI wa Kuleta Mageuzi Katika Sekta ya Mkaa Tanzania (TTCS)...
View ArticleMEJA JENERALI KAPINGA MGENI RASMI PAMBANO LA NGUMI JUNI 7 JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa Mafunzo na Utendeji Kivita wa JWTZ Meja Jenerali Alfred Kapinga ambaye atakuwa mgeni rasmi katika pambano la ngumi Juni 7, 2019 katika ukumbi wa 361 Mwenge jijini Dar es Salaam. (Picha kwa...
View ArticleRAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa...
View ArticleUPANUZI KITUO CHA AFYA BWISYAKISIWANI UKARA WAFIKIA ASILIMIA 95
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akiangalia ramani ya upanuzi wa Kituo cha Afya Bwisya kilichopo katika Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe.Na George Binagi-GB Pazzo, BMGMkuu wa Mkoa Mwanza, John...
View ArticleSERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUKUZA UTALII NCHINI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo wakipewa maelezo na Wily hida kuhusu uimara wa gari...
View ArticleRAIS DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA TAASISI YA AL-HIKMA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayuko pichani), baada ya kumaliza...
View ArticleDC MUHEZA AWATAKA WAZAZI NA WALIMU KUHAKIKISHA KILA MTOTO ANAKUWA NA MTI...
MKUU wa wWlaya ya Muheza, Mhandisi Mwanasha Tumbo, akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kilele cha Wiki ya Mazingira Duniani ambayo wilayani imefanyika katika Kijiji cha Kimbo Kata ya Potwe...
View ArticleNHIF TANGA WATUMIA MAONYESHO YA SABA YA KIMATAIFA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii .Constantine Kanyasu kushoto akimsikiliza kwa umakini Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu wakati alipotembelea alipokwenda...
View ArticleKILIMO CHANZO CHA UPOTEVU WA MISITU: UTAFITI
Ofisa Misitu Mkuu wa Idara ya Misitu na Nyuki Wizara ya Maliasili na Utalii, Seleboni John, akielezea mikakati ya Wizara hiyo katika kuendeleza misitu kwa maofisa serikali kutoka wilaya mbalimbali...
View ArticleMAJALIWA NA MKEWE MARY WAMJULIA HALI MAMA MARIA NYERERE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakimjulia hali Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam, Juni 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
View ArticleWAONGOZA WATALII BORA NCHINI WAPEWA TUZO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua hafla ya utoaji wa Tuzo za Waongoza Watalii nchini (Tanzania Tour Guides Awards 2019) kwa mwaka ,jijini Arusha. Mwenyekiti wa...
View ArticleWanaohujumu miundombinu ya maji ujenzi wa hospitali ya Wilaya kukamatwa
Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo (kaundasuti nyeusi), akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Julieth Binyura, pamoja na kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa na wataalamu wengine wakati wa...
View ArticleBALOZI SEIF ALI IDDI AKAGUA MIRADI YA MAJI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar {ZAWA} Nd, Mussa Ramadhan akimpatia maelezo Balozi Seif hatua zinazochukuliuwa na Mamlaka hiyo katika kuona Mradi wa ujenzi wa Tangi la Maji unazingatia...
View ArticleMGOGORO TEGETA MAGEREJI WAFUKUTA
Paul Makonda - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.Na Mwandishi WetuWANACHAMA zaidi ya 100 wa Tegeta Magereji Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wameamua kukusanya saini kwa ajili ya kuuondoa uongozi...
View Article