BENKI YA CRDB YAZINDUA TAMASHA LA TWENDE9TEEN
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akiwa amembeba mtoto Aryana Ally, katika tamasha la kuukaribisha mwaka mpya la ‘Twende9teen’ lililoandaliwa na benki hiyo kupitia akaunti za...
View ArticleUKUMBI WA KISASA WA SHIVAZ WAZINDULIWA JIJINI ARUSHA
Diwani wa Kata ya Kaloleni, Emanuel Kessy (katikati), juzi akizindua Ukumbi wa Kisasa wa Starehe wenye hadhi ya Kimataifa Shivaz uliopo mkoani Arusha. Kulia ni Mkurugenzi ukumbi huo, Ansi Mmasi....
View ArticleMATUKIO YA UHALIFU IRINGA YAPUNGUA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Juma Bwire, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya usalama kuelekea mkesha wa mwaka mpya 2019. (Picha na Datus...
View ArticleIGP SIRRO AZINDUA RASMI CHAMA CHA WASTAAFU WA JESHI LA POLISI (TARPOA)
Mwenyekiti wa Chama cha Wastaafu wa Jeshi la Polisi (TARPOA) Kamishna Mstaafu CP Suleiman Kova (kushoto), akimkabidhi zawadi Kamishna wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii, Mussa Ali Mussa kwa niaba...
View ArticleWAZIRI MKUU AZINDUA TAWI LA BENKI YA CRDB RUANGWA,*Asema litahamasisha ukuaji...
PMO 4075 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Tawi la Benki ya CRDB la Ruangwa, Desemba 31, 2018. Kushoto ni mkewe Mary, wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB, Ally...
View ArticleFAMILIA YA DAUDI LIANA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA...
Uongozi wa Hosipitali ya Wilaya ya Mwanga, Usangi Kilaweni, ukiwa katika picha ya pamoja na familia ya Daudi Liana. Sehemu ya mashuka 50 yakikabidhiwa kwa uongozi wa hospitali ya Wilaya ya Mwanga...
View ArticleWAZIRI MKUU APOKEA VYUMBA VYA MADARASA YALIVYOJENGWA NA BENKI YA CRDB
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Ally Hussein Laay wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Kassim Majaliwa iliyopo Kata ya...
View ArticleWAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA VIONGOZI RUVUMA
*Ni kuhusu vijana waliofaulu darasa la sabaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa mkoa wa Ruvuma uhakikishe kuwa vijana wote wanaomaliza darasa la saba kwenye kila Halmashuri za mkoa huo...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAIZRI MKUU MSTAAFU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth...
View ArticleHALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO MWAKA 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Halotel, Nguyen Van Son, akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo kuhusu mafanikio ya kampuni hiyo kwa kipindi cha mwaka...
View ArticleCHF ILIYOBORESHWA KUTOA HUDUMA ZA UHAKIKA ZA AFYA KWA WANANCHI –RAS TABORA
NA TIGANYA VINCENT, RS TABORA SERIKALI Mkoani Tabora imewahakikishia wakazi wake kuwa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii ulioboreshwa (CHF ) utatoa huduma ya uhakika ambayo itapendwa na kila mwanachama wa...
View ArticleHALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO YA MWAKA 2018, WAKATI IDADI YA WATEJA WAKE...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Halotel, Nguyen Van Son, akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio waliyopata katika kipindi cha mwaka 2018....
View ArticleMULTICHOICE YAKABIDHI NYUMBA ZA WALIMU ZANZIBAR
Jengo la nyumba za walimu katika shule ya Kizimkazi Kusini Unguja lililojengwa kwa nguvu za wananchi na ufadhili wa MultiChoice Tanzania iliyochangia takriban shilingi milioni 120 katika ujenzi huo....
View ArticleWATUMISHI WATANO WA UYUI MATATANI KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA KILIMO
NA TIGANYA VINCENT, TABORASERIKALI ya Mkoa wa Tabora imeagiza kukamatwa kwa mkulima wa pamba wa Kitongoji cha Mlimani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu watumishi watano wa Halmashauri ya Wilaya ya...
View ArticleUYUI KUJENGA DAHARIA (HOSTEL) 15 ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.5 KUWALINDA...
NA TIGANYA VINCENT, TABORASERIKALI Wilayani Uyui imesema inakusudia kuendesha Kampeni maalumu ya Nishike Mkono Mwezi Machi mwaka huu kwa lengo la kukusanya shilingi bilioni 1.5 (1,500,000,000/-) ambazo...
View ArticleWAKURUGENZI FUATILIENI UTENDAJI WA WATUMISHI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wafuatilie utendaji kazi wa watumishi kwenye maeneo kubaini kama wanakwenda kwa wananchi na kuwahudumia ipasavyo.‘Serikali...
View ArticleWAKURUGENZI FUATILIENI UTENDAJI WA WATUMISHI-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la maji wakati alipoweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Luyehe katika kijiji cha Muungano Zomba kwenye jimbo la Peramiho wilayani Songea, Januari 3,...
View ArticleWANARIADHA WA TANZANIA WATAMBULIKA KATIKA VIWANGO VYA KIMATAIFA 'IAAF LABELS'
Ezekiel Ngimba. Failuna Abdi Matanga-Tanzania (kushoto). Gabriel Geay.Sulle. WANARIADHA wanne wa Tanzania, wamefanikiwa kutambulika katika viwango vya kimataifa 'IAAF Labels' vinavyotambuliwa na...
View ArticleDAWASA WAKABIDHIWA JENGO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo akizungumza na wanahabari na wageni waalikwa wakati wa utilianaji wa saini wa usimamizi wa jengo la Maji lililokuwa likijengwa na Wizara...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAUZIANO YA MAHINDI KATI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa WFP nchini Bw. Michael Dunford kwenye hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi...
View Article