Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

UKUMBI WA KISASA WA SHIVAZ WAZINDULIWA JIJINI ARUSHA

$
0
0
 Diwani wa Kata ya Kaloleni, Emanuel Kessy (katikati), juzi akizindua Ukumbi wa Kisasa wa Starehe wenye hadhi ya Kimataifa Shivaz uliopo mkoani Arusha. Kulia ni Mkurugenzi ukumbi huo, Ansi Mmasi. (Picha na Grace Macha).

 Diwani wa Kata ya Kaloleni, Emanuel Kessy (kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ukumbi wa Kisasa wa Starehe wenye hadhi ya Kimataifa Shivaz uliopo jijini Arusha. (Picha na Grace Macha).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>