MIILI YA ASKARI WA JWTZ KUWASILI JULAI 22
Miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, itawasili kwa ndege maalum katika uwanja wa ndege wa...
View ArticleWATUHUMIWA WAWILI WAUNGANISHWA KESI YA WIZI WA PASPOTI
Na Happiness KatabaziWAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya hapo baadae kuja kuunganishwa katika kesi ya wizi wa Paspoti 26 inayomkabili...
View Article'BADO MDOGO' YA ASLAY KISA CHA KWELI
Na Elizabeth JohnBAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Naenda Kusema kwa mama’, Kinda wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka Dogo Asley, amefunguka juu ya uhalisia wa wimbo wake mpya wa...
View ArticlePNC AJIPANGA KUMFUNIKA DIAMOND
Na Elizabeth JohnAkizungumza jijini Dar es Salaam, PNC alisema, ukimya wake haukuwa bure, bali alikuwa anajipanga vema na ujio wake mpya umekuja huku Diamond akionekana kuliteka anga la muziki huo na...
View ArticleWASANII BONGO WASHAURIWA KUHESHIMU VIDEO ZAO
Na Elizabeth JohnWASANII wa Tanzania wameshauriwa kufuata maadili ya nchi katika video za nyimbo zao ili wasipoteze sifa ya nchi katika vizazi vijavyo.Baadhi ya wasanii wamekua wanawatumia wakinadada...
View ArticleMWENYEKITI WA KIJIJI KILINDI JELA KWA RUSHWA YA KUUZA ARDHI KINYEMELA
Na Mohammed Mhina wa Jeshi la Polisi, HANDENI, Tanga Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kwemakumbi katika kijiji cha Kireguru wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Hamza Rajabu Ngaramilo (56), leo amehukumiwa...
View ArticleArticle 16
MAELEZO YA SHUKURANI YA MWENYEKITI ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA KAMATI YA UCHAGUZI YA TFF - KWA VIONGOZI NA WADAU WA SOKA NCHINI 1. Kama wote tunavyofahamu jana uongozi wangu wa Kamati ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA JAJI MSTAAFU, BUXTON CHIPETA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya Msiba wa Jaji Mstaafu, Buxton Chipeta, aliyefariki dunia Julai 16, mwaka huu...
View ArticleNMB YAFADHILI SEMINA YA MAAFISA MAENDELEO WA VIJANA NCHINI
Benki ya NMB imefadhili semina kubwa iliyohusisha maafisa maendeleo wa vijana kutoka nchi nzima.Semina hii ambayo ilikua ni ya siku mbili ilifanyika katika kumbi za uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View ArticleDiwani alinda bati 100 za Shule na Upinde Miaka 4
Na Bryceson Mathias, MvomeroDIWANI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mhonda, mkoani Morogoro, Salum Mzugi, amelinda mabati 100 ya Shule ya Msingi Ngomeni ‘A’ (Mabogo) yaliyotolewa na Mbunge wa...
View ArticleWANACHAMA WATANO WA CUF WALIOTESWA NA ASKARI WA JWTZ WATOA USHUHUDA WAO
Naibu Mkurugenzi Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuteswa kwa wanachama watano wa chama hicho na askari wa JWTZ mkoani...
View ArticleCCM isiwaadhibu Wananchi, ikalia yenyewe!
NAPENa Bryceson MathiasHIVI karibuni Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutumia Ubabe wa Kiti cha Spika na Uwingi wao bungeni, kiliwaadhibu wananchi kwa kupitisha tozo ya Sh. 1,000/- kwa kila laini ya Simu...
View ArticleKAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA AHAMASISHA MKAKATI WA POLISI JAMII NA ULINZI...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Bw. David Misime akiachana na gari lake na kuungana na na kikundi cha ulinzi shirikishi kilichofahamika kwa jina la Mwananzele kilichopo katika kijiji cha Mbori kata...
View ArticleMAREKANI YAMPOKEA KWA SHANGWE BALOZI MULAMULA BAADA YA KUMKABIDHI HATI ZA...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Leberata Mulamula akiwa na Rais wa Marekan Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho Alhamisi Julai 18, 2013 katika Ikulu ya marekani "White house" na...
View ArticleRAGE AGEUKA SHUJAA MKUTANO WA SIMBA, WAFANYIKA KWA SAA MOJA
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili asubuhi na kumalizika saa tano kamili katika Bwalo la...
View ArticleRAMBIRAMBI MSIBA WA BERT TRAUTMANN
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha kocha wa zamani wa Taifa Stars, Bert Trautmann (89) kilichotokea jana (Julai 19 mwaka huu) nchini Hispania.Kabla...
View ArticleMIILI YA ASKARI WA JWTZ YAWASILI DAR ES SALAAM TAYARI KWA MAZISHI
Miili ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, askari hao walikuwa wakilinda Aman Darfur Sudan....
View ArticleURA YAIFUNGA SIMBA 2-1, KESHO KUPAMBANA NA YANGA
Mshambuliaji wa Simba, Marcel Boniventure akichuana na beki wa URA ya Uganda, Walulya Derrick katika mchezo wa kimatifa wa kirafiki uliofanyika le okwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. URA...
View ArticleRAIS ALHAJ DK.ALI MOHAMED SHEIN AFUTARISHA KISIWANI PEMBA WETE.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na viongozi wa vikosi vya ulinzi,wakati alipowasili Uwanja wa ndege wa Karume Pemba,Rais amewasili...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA KOZI YA KWANZA YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI...
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihutubia wakati akifunga rasmi Kozi ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), katika sherehe za maafali ya wahitimu wa mafunzo hayo...
View Article