Mgombea wa Urais wa CCM Dk Shein Awahutubia Wananchi wa Mtambwe: Ahaidi Mwaka...
Kikundi cha Taarabu cha Kangagani Pemba cha Profesa Gogo kikitowa burudani wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, uliofanyika katika Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba na...
View ArticleJAPANI YAKUBALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA BAJETI YA...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile katika majadiliano na Bw. Hiroshi Kato ambaye ni Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA). Ujumbe wa...
View ArticleWATUHUMIWA WA MAKOSA YA MTANDAO WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Mtuhumiwa wa makosa ya mtandao anayetuhumiwa kusambaza katika mitandao taarifa za uongo zinazomhusu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, Benedic Angelo Ngonyani (24) (wa kwanza Kulia) akiwa katika...
View ArticleMAMA SAMIA AMALIZA KAMPENI MKOA WA MWANZA NA KUANZA SHINYANGA KWA KISHINDO
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Kivuko cha mv Misungwi, wakati akitoka Mwanza kwenda Sengerema mkoani humo. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya...
View ArticleRAIS WA NAMIBIA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA
Bendera ya Tanzania na Namibia. Ndege ya Rais wa Namibia ikiwasili. Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua...
View ArticleBENKI YA CRDB YAADHIMISHA KILELE CHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akikata keki na mmoja wa wateja wa Benki hiyo tawi la Oysterbay wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja...
View ArticleLOWASSA AZIDI KUVUTA HISIA ZA WATU WENGI, MAELFU WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA...
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent...
View ArticleSTARS YAWASILI, KOCHA AAHIDI KUFANYA VIZURI KATIKA MCHEZO WAO DHIDI YA ALGERIA
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo wakitokea Malawi katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi....
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi jaji mstaafu, Damian Lubuva akitoa hotuba yake. HOTUBA YA UFUNGUZI YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KATIKA MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA...
View ArticleMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA...
Mtoamada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude...
View ArticleLAFARGE TANZANIA YAZINDUA SARUJI MPYA “TEMBO SUPASET 42.5”
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) akizungumza machache mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa chapa mpya ya saruji...
View ArticleKAMANDA MPINGA AKABIDHI TBL,RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA
KAMANDA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Mohamed Mpinga (katikati), akikabidhi Ripoti ya upimaji wa Afya za Madereva kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania...
View ArticleMABADILIKO KATIKA UPASUAJI WA UVIMBE WA SARATANI
Dk. Umanath Nayak, mshauri mkuu wa magonjwa ya saratani ya kichwa na shingo pamoja na upasuaji kwa njia ya roboti katika hospitali ya saratani ya Apollo Hyderabad nchini IndiaNa Mwandishi Wetu Sekta...
View ArticleKIGODA KUZIKWA LEO
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, na Mgombea ubunge Jimbo la Handeni kupitia CCM, marahemu Dk Abdallah Kigoda wakati wa mapokezi ya mwili huo kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleMkutano wa Baraza la Vyama Vya Siasa wafanyika Zanzibar
Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuomba Dua Mkutano huo wa Baraza la Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania uliovikutanisha Viongozi wa Vyama 22 vya Siasa Tamzania uliofanyika katika...
View ArticleDK MAGUFULI AUNGURUMA KISARAWE, UKONGA
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyo , wakati wa mkutano wa kampeni eneo...
View ArticleMAPOKEZI DIAMOND BALAAA
Msanii wa muziki wa kizazi kimpya Nassib Abdul 'Dimond Platinumz' akiwa ameshika mojo kati ya tuzo tatu alizotwaa za Afrimma mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
View ArticleSTUDIO YALETA BURUDANI DAR, MWANZA, ARUSHA NA MBEYA
Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri. *************Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki...
View Article