Baadhi ya madereva wa bodaboda na pikipiki za matairi matatu bajaji kutoka mji mdogo wa Taunduma wakionyesha vyeti vyao mara baada ya kuitimu mafunzo ya kuendesha vyombo hivyo mara baada ya kunuykiwa vyeti hivyo na Kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani kutoka kushoto ni James Simwanja, Zawadi Mwakamalesya,Thomasi Mwaluanda na Ally Nkama,mafunzo hayo yalitolewa kwa zaidi ya madereva 400 kutoka wilaya ya Momba na kudhamiwa na kampuni ya Apec hafla ya kukabidhi vyeti lifanyika katika ukumbi wa Hotel ya Highclas mjinbi Tunduma.
magari ya mizigo pamoja na pikiki ya matairi matatu wakiwa ayamekwama kutokanana msongomano Mkubwa katika mpaka wa Tanzania na Zambia foleni hiyo imekuwa ikiduma kwa takribani masaa manne ili gari liweze kuvuka ng'ambo ya pili
Stendi kuu mpya ya mabasi yaendayo katika mikoni na nchi jirani za malawi ikiwa katika hatua za mwisho kukamika katika eneo la viwanja vya wakulima nane nane jiji la Mbeya, uwanja huyo unatarajiwa kukamika mwishoni mwa mwaka huu.
Mtalamu wa kuchezea nyoka kutoka Mkoani Iringa akionyesha ufundi wake katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha redio Country FM katika mafasa ya 91.1 chenye makao yake Makuu Mkoani Iringa Mgeni Rasmi katika hafla hiyo iliyo fantika katika ukumbi wa Mtenda Sun Set alikuwa kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani. (Picha zote na Kenneth Ngelesi)