![]() |
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Henry Lihaya,(kulia) akipeana mkono na kocha Mkuu wa Kilimanjaro Stars, Kim Poulsen kwenye hafla kukabimkabidhi bendera kwa Kilimanjaro Stars inayokwenda kushiriki mashindano ya Chalenji yanayotarajiwa kuanza kesho nchini Kenya. Katikati ni nahodha wa Kilimanjaro Stars Kelvin Yondani. |
![]() |
Wachezaaji wa Kilimanjaro. .Stars![]() |
Nahodha wa Stars Kelvin Yondani akizungumza na waandishi wa habari.
Baadhi ya wachezaji wa Stars.