$ 0 0 Jengo la wafanyabiashara ndogondogo (Machinga Complex) lililopo jijini Dar Es Salaam likiwa linawaka moto muda huu..Juhudi za kuuzima zinaendelea, tutawaletea taarifa zaidi.