Bondia Abbdallah Pazi kulia akitia saini ya kupigana na Thomasi Mashali kushoto baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika January Mosi katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam.
↧