Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 5

$
0
0
WAZIRI WA ARDHI PROFESA ANNA TIBAIJUKA ASIFU KAZI INAYOFANYWA NA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)
1
Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akipokewa na Felic Maagi Mkurugenzi wa Fedha wa NHC wakati alipowasili kwenye Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam. 2
Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na baadhi ya viongozi wa shirika la nyumba nchini NHC baada ya kuwasili kwenye banda hilo tayari kwa kukagua shughuli zinazofaywa na shirika hilo, Kutoka kulia ni Muungano Saguya Meneja za Jamii NHC, Davidi Shambwe Mkurugenzi wa Biashara na Maendeleo wa NHC na Felix Maagi Mkurugenzi wa Fedha NHC.3
Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijjuka akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa shirika hilo wakati alipotembele banda la NHC Kushoto ni Felix Maagi Mkurugenzi wa Fedha na kutoka kulia ni Elias Msese Meneja Miliki Uendeshaji Makao Mkuu na Edith Ngunwe Afisa Mawasiliano  4
Mmoja wa watu waliotembelea banda la NHC akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa shirika hilo kutoka kulia ni Nalindwa Norbert, Rhobi Wambura na Wilson Sanane.5
Mkurugenzi wa Biashara na Maendeleo wa NHC, David Shambwe akitoa maelezo wa Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka wakati alipotembelea banda la shirika hilo kushoto ni Felix Maagi Mkurugenzi wa Fedha na Kutoka kulia ni Rhobi Wambura na Wilson Sanane maofisa wa .


Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles