Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa Benki ya CRDB, Joseph Witts akizungumza wakati wa uzindzi wa huduma itakayomwezesha mteja wa M-Pesa kutoa pesa kupitia ATM za Benki ya CRDB. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu wa Biashara Mtandao wa Kaampuni ya Vodacom Tanzania, Jacques Voogt akizungumza wakati wa uzindzi wa huduma itakayomwezesha mteja wa M-Pesa kutoa pesa kupitia ATM za Benki ya CRDB. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa Benki ya CRDB, Joseph Witts na Meneja wa Mambo ya Nje wa Vodacom, Salum Mwalim.

Ofisa Mkuu wa Biashara Mtandao wa Kaampuni ya Vodacom Tanzania, Jacques Voogt akitoa pesa kutoka katika akaunti ya M-Pesa kupitia ATM za Benki ya CRDB.
Ofisa Mkuu wa Biashara Mtandao wa Kaampuni ya Vodacom Tanzania, Jacques Voogt akionesha fedha alizotoa kutoka katika akaunti ya M-Pesa kupitia ATM ya Benki ya CRDB, wakati wa uzindzi wa huduma hiyo. Katikati ni Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa Benki ya CRDB, Joseph Witts na Meneja wa Mambo ya Nje wa Vodacom, Salum Mwalim.
Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa Benki ya CRDB, Joseph Witts akitoa pesa kutoka katika akaunti ya M-Pesa kupitia ATM ya Benki ya CRDB.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akitoa pesa kutoka katika akaunti ya M-Pesa kupitia ATM ya Benki ya CRDB.