Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 0

$
0
0
KUTOKA BUNGE LA BAJETI MJINI DODOMA
Mbunge wa Mwibara Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva  wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. 

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza Mjijini ,Ezekiel Wenje, bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2014.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>