Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 2

$
0
0
NAPE: CCM BADO INA IMANI NA MUUNDO WA SERIKALI MBILI
CCM bado inaamini katika Muundo wa Serikali mbili

CCM ina amini Muungano huu muhimu unadumishwa na kuimarishwa, Muundo tulionao uboreshwe
Tutangulize mbele Uzalendo na maslahi ya kweli ya nchi yetu.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti CCM Makao Makuu Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam ambapo alizungumzia imani ya CCM katika muundo wa serikali mbili.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisikiliza  baadhi ya maswali kutoka kwa waandishi wa habari waliohudhuria mkutano na waandishi wa habari kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Lumumba jijini Dar es salaam leo tarehe 20 Machi 2014.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>