Mkuu wa Wialaya ya Igunga Elibariki Kingu akikagua bomba la maji katika zahanati ya kijiji cha Choma kata ya Choma mkoanio Tabora, wakati alipofika katika hospitali hiyo kukagua huduma wanayopatiwa wananchi waliojiunga na mfuko wa huduma ya jamii (CHF). (Picha zote na Abdallah Khamis)
Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu akiongea na wagonjwa waliolazwakatika kituo cha afya katika kijiji cha Choma Mkoani Tabora, wakati alipofikakukagua huduma wanayopatiwa wananchi waliojiungana Mfuko wa Huduma ya Jamii (CHF).
Baadhi ya wagonjwa wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu.
Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu, akiwaapisha wananchi walioahidi kujiunga na CHF katika kijiji cha Choma.