Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Fulgence Kazaura wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Bugandika,Wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera. (Picha na Freddy Maro)