Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 0

$
0
0
YANGA YAICHAPA AL AHLY 1-0 mbuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa (kushoto), akichuana na beki wa Al Ahly ya Misri, Mohamed El Ghareeb katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akiwa katikati ya mabeki wa Al Ahly ya Misri, katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mashabiki wa timu ya Al Ahly wakishangilia timu yao.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia wakati wa mchezo huo.
Wachezaji wa Yanga, wakishangilia bao pekee la timu hiyo lililofungwa na Nadir Haroub ‘Canavaro’ (kulia), katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wa soka wakirusha viti baada ya kuving'oa.
Uharibifu ukiendelea.
Kiti kikitoka sehemu waliokaa mashabiki wa Simba na shabiki wa Yanga naye akirusha upande wa mashabiki wa Simba.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>