Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 1

$
0
0
TWIGA STARS YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI YATOKA SARE YA 1-1 NA ZAMBIA, YAAGA MASHINDANO
Askari Polisi akiwazuia mashabiki wa soka kuingia kwenye Uwanja wa Chamazi kushuhudia pambano la Twiga Stars na Zambi baada ya uwanja huo kufurika m,ashabioki wa soka. Pambano hilo la kuwania kufuzu Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC), lilifanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. 
  Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Soka ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’, Asha Rashid (kushoto), akiwania mpira huku akizongwa na beki wa Zambia, Annie Kabange katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC), uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zilito sare ya 1-1.
 Wachezaji wa timu ya taifa ya Soka ya Wanawake ya Zambia wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles