Article 1
UDA YAINGIZA MABASI MABASI 175Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, ambayo inamiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena (wa pili kishoto), akipokea mfano wa funguo ya gari,...
View ArticleArticle 0
MTEMVU ANOGESHA MASHINDANO YA SERIKALI ZA MITAA TEMEKEMbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Jamaica ya Mtaa wa Keko Molemo, Paulo Peter zawadi ya sh. 300,000...
View ArticleArticle 1
NSSF KUWAFIKIA WAJASIRIAMALI WAPYA MILIONI 22 WA SEKTA BINAFSI SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), imepanga kuwafikia wajasiriamali wapya zaidi ya milioni 22 walio katika sekta isiyo rasmi....
View ArticleArticle 0
MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUFUNGA BARABARA Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita....
View ArticleArticle 2
MAFOTO PRODUCTION ENTERTAINMENTMAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. KAZI NYINGINEZO:- VIDEO...
View ArticleArticle 1
Maria: Mume alinikatisha darasa la sita, sasa kanitelekeza na watoto wanneNdebile Kazuri pichani anayedaiwa kutelekeza mke.RUKWA, TanzaniaMATUKIO ya utelekezaji wa mke na watoto nchini Tanzania bado ni...
View ArticleArticle 0
WAZIRI WA HABARI AFUNGUA LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) ARUSHA LEO Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia...
View ArticleArticle 1
CISA REVIEW CLASSES Registration is NOW open for CISA Review Class for the forthcoming CISA exam on 14th June, 2014. Our Reviews are due to begin on Monday...
View ArticleArticle 0
SKYLIGHT BAND YAPAGAWISHA MASHABIKI WAKEDivas wa Skylight Band wakiongozwa na Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 (katikati) kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota...
View ArticleArticle 24
MAKAMU WA RAIS,DK. BILAL AWASILI JIJINI MWANZA, KUFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege wakati...
View ArticleArticle 23
TWIGA STARS YATUA LUSAKA, YAAHIDI MAPAMBANOKikosi cha wachezaji 19 wa Twiga Stars kimetua Lusaka, Zambia leo (Februari 13 mwaka huu) huku Kocha Mkuu Rogasian akiahidi ushindani kwenye mechi dhidi ya...
View ArticleArticle 22
Extra Bongo yanyakuwa wawili Twanga PepetaNa Mwandishi WetuUONGOZI wa wakali wa muziki wa dansi nchini Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa Kimbembe’ umemrejesha kundini aliyewahi kuwa rapa bendi hiyo...
View ArticleArticle 21
MECHI YA TWIGA STARS, ZAMBIA ‘LIVE’ ZNBCKikosi cha Twiga Stars kinashuka Uwanja wa Nkoloma, Lusaka nchini Zambia leo kuwavaa wenyeji Zambia (Shepolopolo) katika mechi ya mchujo ya Kombe la Afrika kwa...
View ArticleArticle 20
KITUO CHA DALADALA CHA BIAFRA CHAGEUZWA SEHEMU YA KUTUPA TAKAUchafu ukiwa nyuma ya kituo cha Biafra na ukitizama picha vizuri kuna abiria amekaa lakini cha kusikitisha nyuma yake kuna uchafu ambao...
View ArticleArticle 19
JHIKOMAN AWASHA MOTO SAUTI ZA BUSARA 2014MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya Afro rege, Jhikoman Manyika jana usiku Februari 13, aliwasha moto kwa kupiga shoo ya nguvu iliyodumu kwa lisaa limoja na...
View ArticleArticle 18
NSSF YADHAMINI SEMINA KUHUSU JAMII KUPENDA KUFANYA MAZOEZISHIRIKA lisilo la kiserikali la Maadili na Kazi limetaka jamii kujimudu kimawazo na kupenda kufanya mazoezi, kuepuka msongo wa...
View ArticleArticle 17
Hatutasimamisha mgombea dhaifu Kalenga na lazima CCM ianze kuzoea kushindwa-Chadema Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Benson Kigaila akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu...
View ArticleArticle 16
KAMATI YA MAADILI YA CCM YAMUHOJI JANUARY MAKAMBA Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya...
View ArticleWASSIRA AHOJIWA NA KAMATI KUU YA CCM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano...
View ArticleArticle 14
KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC DODOMA Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma tayari kuongoza kikao cha NEC...
View Article