TPSF: Serikali isitishe ugawaji wa vitalu vya gesi
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania wakiwa katika kikao cha kwanza tangu bodi hiyo kuteuliwa ambapo kilijadili mambo mbalimbali yakiwemo ya uwekezaji nchini. (Picha na...
View ArticleWadau wamuaga Redd's Miss Tanzania 2012/13
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara (wa pili kulia) akitoa nasaha zake kwa Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2013,wakati wa hafla ya Chakula cha...
View ArticleDC Mtaka atoa siku 7 wafugaji kuhama kwa hiari, 14 kwa lazima
Na Bryceson Mathias, MvomeroMKUU wa Wilaya ya Mvomero, Antony Mtaka, jana ametoa siku 7 kwa wafugaji waliovamia Tarafa ya Turiani kuhama kwa hiari yao na siku 14 kuhama kwa lazima, kutokana mapigaano...
View ArticleYOSO LINDI SOCCER ACADEMY AFARIKI DUNIA
Marehemu Exavel Richard (wa kwanza kushoto waliokaa mbele), akiwa katika picha ya pamoja na kikosi cha Lindi Soccer Academy (LSA) nje ya Hotel Double M, ilikokuwa imeweka kambi kujiandaa na michuano ya...
View ArticleCyber Defence East Africa 2013 Conference
The importance of cyber security in Tanzania is increasing due to country’s rapid development. More and more businesses and government institutions are conducting their activities online and,...
View ArticleMECHI YA YANGA, COASTAL YAINGIZA MIL 152/-
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Coastal Union iliyochezwa jana (Agosti 28 mwaka huu) katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 152,296,000.Watazamaji 26,137 walikata...
View ArticleBARCELONA YATWAA KOMBE, MESSI AKIKOSA PENATI
Enlarge Taji la kwanza: Nyota mpya wa klabu ya FC Barcelona, Neymar akiwa ameshikilia taji lake la kwanza tangu atue klabu hiyo. Hili ni taji la 16 kwa Barcelona katika kipindi cha miaka minne,...
View ArticleTAARIFA YA KIFO
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIASimu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463...
View ArticleSEREEE CO YAJA NA MEN'S WEAR KINONDONI TX
WADAU mbalimbali mnakaribishwa SEREEE CO, Kinondoni jirani na Soko la TX. Ndani ya SEREEE CO utakutana na huduma mbalimbali nzuri za kuvutia pamoja na mambo mazuri kibao kama vile MEN'S WEAR SHOP,...
View ArticleCCM; TUTAWASAIDIA WAZEE
Baadhi ya wawakilishi wa Mtandao wa Wazee wakiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chama Dodoma leo tarehe 30 Agosti...
View ArticleCyber Defence East Africa 2013 conference
Deputy Minister of Communication Science and Technology, January Makamba (Second Left), arrive during the meeting of stakeholders in the criminal networks held at Morogoro Region recently. Second right...
View ArticleNBC YAZINDUA PRIVATE BANKING
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Private Banking lililopo Coco Plaza, Oysterbay jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande) Mwenyekiti...
View ArticleTUNDA MAN ASAMBAZA VIDEO YA KIJOGOO
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’ amesambaza video ya ngoma yake...
View ArticleDIAMOND AJIPANGA KUSAMBAZA 'NUMBER ONE'
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ anajipanga kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Number One’ hivi karibuni.Diamond ni kati ya wasanii...
View ArticleMABESTE AISAMBAZA 'NISHAURI'
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba na nyimbo mbalimbali katika muziki wa kizazi kipya nchini, William Ngowi ‘Mabeste’ yupo mbioni kuachia kibao chake kipya kinachojulikana kwa jina la ‘Nishauri’ ambacho...
View Article'BIRTHDAY PARTY' YA JUX SEPTEMBA MOSI BILLZ
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Juma Mussa ‘Jux’ kesho anatarajia kuzindua video ya kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Uzuri wako’ ikienda sambaba na sherehe za...
View ArticleKING CRAZY GK AIBUKA UPYA
Na Elizabeth JohnNYOTA wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la East Coast Team, Gwamaka Kailunga ‘King Crazy GK’ ameibuka na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Baraka au Laana’ ambao...
View ArticleDIAMOND AMZAWADIA GARI GURUMO
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi, Muhidin Gurumo akijaribu gari dogo alilokabidhiwa na mwanamuziki wa bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond ‘ kutokana na kutambua mchango wake baada ya kustaafu kazi ya...
View ArticleALICIA K DESIGNS YAANDAA USIKU WAJASIRIAMALI WANAWAKE
Mbunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shrose Bhanji akizungumza kwenye hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Alicia K Designs kwa ajili ya kuwapa wanawake mbinu za...
View Article