Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

MICHUANO YA SOKA LA UFUKWENI KUTIMUA VUMBI NOVEMBA 19

NA MAKUBURI ALLYKAMATI ya Soka la Ufukweni limeandaa ligi inayotarajia kuanza Novemba 19, uwanja wa Karume Ilala jijini Dar es Salaam itakayoshirikisha wachezaji kutoka vyuo mbalimbali vya elimu hapa...

View Article


TIKETI SIMBA, YANGA MWISHO IJUMAA

NA MWANDISHI WETUSHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza taratibu za uuzaji wa tiketi kwa ajili ya mchezo kati ya Simba na Yanga limeanza leo hadi Ijumaa unaotarajia kuchezwa Oktoba 28 kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA MSWEDEN ALIPA TANO SOKA LA WANAWAKE

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya soka ya Wanawake ya Sweden, Pia Sundhage, akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu ya JKT Queen wakati wa Clinic ya mafunzo kwa makocha wa vituo vya michezo. NA MAKUBURI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMIA AZITAKA BENKI KUFUNGUA MATAWI ZAIDI

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa Kimataifa wa Women’s World Banking uliofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Benki ya NMB. (Picha na Francis Dande).Mkurugenzi...

View Article

MAHAKAMA YAAGIZA MKE WA DK. SLAA KUFIKA KUTOA USHAHIDI

NA MWANDISH WETUMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru askari Polisi aliyechukua maelezo ya mke wa Dk. Wilbroad  Slaa, Josephine Mushumbusi, kumuagiza kufika mahakamani hapo Oktoba 25 kwa ajili...

View Article


Kizimban kwa kumiliki magar 19

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imempandisha kizimbani Ofisa msaidizi wa forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA),Jennifer Mushi na kumsomea mashtaka mawili ikiwamo ya kumiliki magari 19 yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI IMELIFUNGIA GAZETI LA TANZANIA DAIMA

View Article

WAZIRI JAFO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA MABORESHO YA HUDUMA ZA UMMA NA...

View Article


MHE. SHONZA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (TAFCA) NA DATA...

View Article


GAZETI LA TANZANIA DAIMA LAFUNGIWA KWA SIKU 90

View Article

NYOTA WA ZAMANI YANGA ATUHUMIWA KUTAKA KUDHULUMU NYUMBA YA URITHI

NA SHEHE SEMTAWAFAMILIA ya Mabrouk imemripoti mchezaji wa zamani wa timu ya Yanga na Simba, Athuman China Kituo cha Polisi Urafiki, ikimtuhumu kutishia usalama wa watoto wa dada yake ambao wako katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALOTEL YAFUNGUA DUKA JIPYA KIGAMBONI

  Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Halotel, Mhina Semwenda, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Duka la Kampuni hiyo Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.Meneja wa Duka la Halotel...

View Article

KESI YA LULU KUENDELEA OKTOBA 26

NA MWANDISHI WETUMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na washauri waungwana wa mahakama hiyo wanatarajia kutoa muhtasari wa kesi ya mauaji ya bila kukusudia inayomkabili msanii wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Q-NET YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI

 Waadishi wa habari wakimsikiliza mtoa mafunzo ya bidhaa za Qnet, Sunny Shaper  katika ofisi za Q-NET jijini Dar es Salaam. Sunny Shaper akitoa mafunzoa kwa waandishi wa habari juu ya bidhaa za Q-NET...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBIII kutumia e-visa

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kushoto) akiwaeleza jambo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya...

View Article


LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13

NA MWANDISHI WETUMAHAKAMA Kuu ya Tanzania  Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kuuwa bila kukusudia inayomkabili  Muigizaji wa Filamu Elizabeth Michael 'Lulu' November...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sekondari Tanga Zapata Elimu Kwa Njia ya TEHAMA Tigo yatoa msaada wa mfumo wa...

Tanga 25 Oktoba, 2017Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali nchini, Tigo Tanzania kupitia mradi wake wa Tigo E-schools imezidi kuleta mageuzi makubwa ya elimu nchini baada ya kutoa msaada wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WILAYANI BIHARAMULO WAIPONGEZA COSTECH KWA KUWAPELEKEA MBEGU BORA YA...

Watafiti, Dk.Beatrice Lyimo (wa tano kushoto) na Bestina Daniel (wa pili kulia), kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),wakiwakabidhi mbegu bora ya mihogo Wanakikundi cha Chapakazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHINDI WA TATU MZUKA AKABIDHIWA KITITA CHA MILIONI 65

Fainesy Matiholo mshindi wa 12 wa droo kubwa ya Tatu Mzuka na kujinyakulia kitita cha shilingi za Kitanzania Milioni 65.Mheshimiwa Queen Mlozi Mkuu wa Wilaya wa Tabora akitoa zawadi kwa Fainesy...

View Article

SANGA ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI LIGI

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Clement Sanga ameteua Kamati mpya ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi.Wajumbe wanaounda Kamati hiyo ambayo ataiongoza yeye mwenyewe ni Shani Mligo (Makamu...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>