Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF.GABRIEL AMEWATAKA MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI KUJIONGEZEA UWEZO WA...

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na Maafisa Mawasiliano wakati wa ufungaji wa Kikao kazi kwa Maafisa hao kilichofanyika Mjini Dodoma....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msemaji wa polisi Uganda Felix Kaweesi auawa kwa kupigwa risasi

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Uganda, Felix Kaweesi (pichani), amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana.Taarifa zinasema Bw Kaweesi ameuawa baada ya gari lake kumiminiwa risasi na watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamitindo agongwa na treni akipigwa picha Marekani

Mwanamke wa umri wa miaka 19, ambaye alikuwa anaanza kujikuza kama mwanamitindo, aligongwa na treni na kufariki alipokuwa anapigwa picha.Fredzania Thompson (pichani), alikuwa anapigwa picha hizo zake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII YAIPONGEZA TASUBA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba pamoja na Wajumbe...

View Article

TANZANIAN GOVERNMENT TO SET TARGETS FOR COMMNUCATION OFFICERS

By Staff Writer-MAELEZOIn a bid to improve flow of information from the government to the public, the Tanzanian government will, from now, set targets to all government communication officers which...

View Article


NMB Mobile yaja na huduma mpya

Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB, imezindua rasmi huduma ya kuhamisha ama kutuma fedha (NMB Mobile Tips), kutoka katika akaunti za benki hiyo, kwenda kwenye akaunti za benki nyingine, sambamba na kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo Amvisha Cheo Kanali wa...

Katika hali ambayo haijazoeleka na iliyoonekana kuwa ngeni, Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali.Hafla hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMUWALIKISHA RAIS UZINDIZI WA JUKWAA LA UCHUMI AFRIKA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili nchini Mauritius leo (Jumapili, Machi 19, 2017) kwa ajili ya kumuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano wa kuzindua Jukwaa la Uchumi Barani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shusho, Mwaipaja ndani ya Pasaka

.Viingilio ni shilingi 10,000; sh 5,000 na sh 3,000NA MWANDISHI WETUWARATIBU wa Tamasha la Pasaka litakalozinduliwa April 16 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kisha kuhamia mikoa minne,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda achukua fomu kugombea ubunge wa Bunge la...

Bi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akikabidhiwa fomu na  Bw. Said Bakari wa  Idara ya Uhusiano wa kimataifa katika makao makuu ya CCM mtaa wa...

View Article

WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWA NA JITIHADA ZA KUREJESHA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA

Na Mwandishi WetuWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama ameupongeza uongozi wa mkoa wa Kagera kwa hatua iliyofikiwa katika kurejesha...

View Article

WAZIRI NAPE AUNDA KAMATI KWA AJILI YA KUCHUNGUZA TUKIO LA UVAMIZI WA KITUO...

Na Shamimu Nyaki-WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye ameunda kamati ya watu watano itayoongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassan Abbas kuchunguza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC DODOMA AKUTANA NA KAMATI NDOGO YA MKOA YA URATIBU UJENZI WA UWANJA WA...

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme akizungumza na Kamati ndogo ya Mkoa inayoratibu Ujenzi wa mradi wa Uwanja wa Michezo wa Kimataifa utakojengwa katika kata ya Nala Mjini Dodoma.  Mwenyekiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABBAS MTEMVU AFUNGUA MKUTANO WA VICOBA NA BENKI YA KIISLAMU YA AMANA PTA...

Mhe. Abbas Mtemvu akisalimiana na baadhi ya wanachama wa vikundi mbalimbali vya Vicoba, wilayani Temeke, alipofika kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Sabasaba kufungua mkutano wao na Benki ya Kiislamu...

View Article

KUUNDWA KWA KAMATI YA KUCHUNGUZA SUALA LA KILICHOTOKEA CLOUDS MEDIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ameunda kamati ya watu watano kuchunguza suala la kilichotokea Clouds Media siku ya Alhamisi pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC DODOMA AWATAHADHARISHA WATAKAODANGANYA KATIKA ULIPAJI FIDIA ENEO LA UJENZI...

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme akizungumza na wakazi wa Kata ya Nala alipowatembelea na kusikiliza maoni na changamoto mbalimbali zilizopo katika kuanza kutekelaza radi wa ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA ALITEL NCHINI MAURITIUS

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha sukari cha Kampuni ya Alteo ya Nchini Mauritius chenye uwezo wa kukamua tani 400 za miwa kwa saa na kuzalisha tani 170,000 za sukari kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gosbert, ‘Kwa viumbe Vyote’ ndani ya Tamasha la Pasaka

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama, akizungumza na waandisi wa habari jijini Dar es Salaam leo, wakati akitangaza waimbaji waliodhibitisha kushiriki katika tamasha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanapa

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika kuhakikisha kuwa linaboresha mawasiliano yake baina ya wananchi wanaoishi maeneo jirani na hifadhi wameamua kuwapa mafunzo maalum ya wiki moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA BENKI YA DUNIA AMEONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA...

Dar es Salaam, Machi 21, 2017Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim, ameondoka nchini baada ya ziara ya kikazi ya siku tatu na kuagwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango katika uwanja...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>