Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT AMIS YATOA SEMINA KWA WAFANYAKAZI WA MAZNAT JUU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA

Mkurugenzi wa Maznat Bridal akifungua semina kwa wafanyakazi wake juu ya huduma bora kwa wateja, ujasiriamali na Uwekezaji wa Pamoja iliyofanyika katika hoetli ya Kebbs jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAMUZI YA KAMATI YA UENDESHAJI LIGI

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi umeipa Polisi Dodoma ushindi wa pointi tatu na mabao matatu baada ya Mji Mkuu FC kumchezesha mchezaji Peter Ngowi aliyekuwa na kadi tatu za njano kwenye mechi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA MAPINDUZI MATUKUFU ZANZIBAR

Rais Dk. John Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein wakiwa katika sherehe za kilele cha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AENDE MHUMBILI KUMSALIMIA SUMAYE

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye  ambaye amelazwa  katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu Januari 12, 2016. (PIcha na Ofisi ya Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI NYANG'ANYI AHANI MSIBA WA LETICIA NYERERE LANHAM, MARYLAND

 Balozi Mustafa Nyang'anyi akiwa na Bw. Madaraka Nyerere alipokwenda kutoa pole kwa msiba wa Leticia Nyerere siku ya Jumanne January 12, 2016 Lanham, Maryland. Marehemu Leticia Nyerere aliaga Dunia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA LEO

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA ZANZIBAR SALIMU MWALIMU AKIFAFANUA JAMBO...

  Mwakilishi kutoka Kampuni inayosambaza ving’amuzi vya TING, Anitha Chawe (kushoto), akimkabidhi zawadi mshindi wa kig'amuzi, Happyness Haule (katikati) na Ofisa Usambazaji wa Global Publishers,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE NASSARI ATEMBELEA KARAKANA YA VIFAA TIBA KATIKA MJI GUANGZHOU NCHINI...

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akiwa katika moja ya karakana ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou nchini China.Mheshimiwa Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA YA TFF KUMPONGEZA SAMATA YAOTA MBAWA

Kufuatia mchezaji Mbwana Samatta kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania  (TFF) lilikuwa limeandaa shughuli maalum ya kumpongeza,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIKILIZE BWANA UMEME

View Article

POLISI WAKAMATA PIKIPIKI 600

JESHI  Polisi  Kanda maalum ya Dar es Salaam limekamata pikipiki zaidi ya 600 katika mikoa ya Kipolisi ya Ilala ,Temeke na Kinondoni zikihusishwa na matukio mbalimbali ya uhalifu.Akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AKAMATWA NA MENO YA TEMBO KILO 50 YENYE THAMANI YA TSH MIL 120 MKOANI KATAVI

Meno ya Tembo vipande 8 vyenye uzito wa kilo 50 ya thamani  ya milioni  120  ambayo ni sawa na Tembo hai wane aliyokamatwa nayo hivi karibuni mtuhumiwa  Nzuri Ndizu Mkazi wa Kijiji cha Mbede Wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU ZA SIMBA, URA NA MTIBWA SUGAR ZAWASILI DAR

Kiungo wa timu ya URA ya Uganda, Kagimu Shafik akiwa amenyanyua juu Kombe la Mapinduzi walilolitwaa mjini Zanzibar jana kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 3-1 katika mchezo wa fainali. Timu hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIGI KUU KUANZA JUMAMOSI

Baada ya kusimama kwa wiki mbili kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania mzunguko wa kumi na nne (14) unatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo 8...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Nisahati na Madini yatoa ufafanuzi mradi wa umeme wa Kinyerezi II

Mkuu wa Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, wakati alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu mradi wa umeme wa Kinyerezi Awamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA MAMA YETU LETICIA NYERERE KUFANYIKA JUMAMOSI ST...

Leticia Nyerere enzi ya uhai wakeFamilia ya Nyerere inependa kuwataarifu, kuwakaribisha na hatimae kujumuika nao katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa mama yao Leticia Nyerere itakayofanyika siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanahabari wa ITV Bw. Spensor Lameck alamba nondo chuo cha Diplomasia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga akihutubia jana wakati wa mahafali ya Chuo cha Diplomasia yaliyofanyika jana chuoni hapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MAHIGA AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, akisalimiana na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Bi. Shy-Rose Bhanji,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MWAMOTO ACHANGIA UJENZI WA DARASA LA CHEKECHEA , ASEMA RAIS DR...

Mbunge  wa  jimbo la  Kilolo  Bw  Venance Mwamoto akikabidhi  fedha  akisi cha Tsh 500,000 kati ya Tsh milioni 1 alizoahidi kuchangia ukarabati    wa darasa la chekechea kijiji  cha Isele kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA UTAFITI CHA RCRSDS KUZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUKUSANYA,...

Mkurugenzi Mtendaji wa  Kituo cha Utafiti wa Shughuli za Maendeleo ya Jamii Tanzania (RCSDS),Abraham Shempemba (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo , kuhusu...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>