WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU...
Washiriki wa Manjano Dream-makers katika taasisi ya Manjano Foundation wamehitimu mitihani yao ya mwisho ya jinsi ya kupaka vipodozi (makeup). Kuanzia sasa, washiriki hao wanawake na wasichana 30...
View ArticleMKUTANO WA MAJADILIANO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA YA JAPAN JUU YA MIRADI...
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshinda (wa pili kushoto) akisistiza jambo wakati wa mkutano huo. Wengine pamoja nae ni wajumbe kutoka Serikali ya Japan. Na: Thomas Nyindo, Ofisi ya Rais,...
View ArticlePSPF KUKOPESHA VIWANJA WANACHAMA WAKE KWA KUSHIRIKIANA NA BENKI YA POSTA,...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akizindua mpango maalum wa kutoa mikopo ya viwanja kwa wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa kushirikiana na...
View ArticleUKAWA WATANGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo Kessy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza...
View ArticleMkisi aibuka mshindi kwa mara ya nyingine
Pix ii,iii Wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Vwawa wakiwa wambeba juu Fanuel Mkisi mara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza, kura za Maoni kumpata mgombea Ubunge...
View ArticleKATIBU WA BASEBALL TANZANIA AIKABIDHI TIMU YA TAIFA YA MCHEZO HUO JIJINI DAR...
Bw. Alferio Nchimbi Katibu wa Chama cha Mchezo wa Baseball na Softball Tanzania akikabidhi vifaa vya michezo kwa wachezaji wa timu ya mchezo huo ya Tanzania inayotarajia kuondoka kesho kuelekea nchini...
View ArticleMAGUFULI ASAINI HATI YA KIAPO YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli akikabidhi hati ya Kiapo mapema leo mchana kwa Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Sekieti Kihiyo (katikati). Hati ambayo kila mgombea wa...
View ArticleIRELAND YAWADHAMINI WATANZANIA 14 KWA SHAHADA YA UZAMILI
Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Bi. Fionnuala Gilsenan, akitoa hotuba yake wakati wa maonyesho ya sayansi kwa wanafunzi wa sekondari yanayoandaliwa na shirika la YST ambayo pia Ubalozi wake...
View ArticleWAJASIRIAMALI KUONYESHA BIDHAA ZAO JIJINI MWANZA, SEPTEMBA 26, 2015
Baadhi ya Wajasiriamali wakiwa katika maonyesho ya bidhaa mbalimbali kwenye kongamano la wajasiriamali lililofanyika Hoteli ya Mbezi Garden mapema mwaka huu. Kongamano la namna hiyo linatarajiwa...
View ArticleJAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akizungumza wakati wa fainali hiyo kaba ya kukabidhi zawadi kwa mabingwa wa mashindano hayo. (Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii)Mh Mbatia akikabidhi...
View ArticleINNOCENT MELLECK SHIRIMA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE JIMBO LA VUNJO
Mgombea wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisi za msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo ambaye ni mkurugenzi wa...
View ArticleNYALANDU ACHUKUA FOMU ZA TUME YA UCHAGUZI (NEC) KUGOMBEA UBUNGE SINGIDA...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akichukua fomu za kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Kaskazini kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Singida, Faridda Mwasumilwe katika Ofisi za...
View ArticleSTANBIC TANZANIA YAISAIDIA PTA KUWEKEZA BILIONI 32 SOKO LA HISA DSM
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Ken Cockerill akiongea na wa habari kuhusiana na benki hiyo ilivyofanikisha Benki ya PTA kuwekeza amana zenye thamani ya shilingi 32.6bn kwenye Soko la...
View ArticleDiamond Motors rolls out the new Fuso FZ in ‘Ndiyo Fuso niFaida’ campaign
Transport sector is an important component of the economy and a common tool used for development because of its intensive use of infrastructures. This is even more so in Tanzania’s economy where...
View ArticleDk. John Pombe Magufuli alipotambulishwa kwa wazee wa Dar es Salaam ukumbi wa...
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahma Kinana alipokuwa anawasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli...
View ArticleMkisi aibuka mshindi kwa mara ya nyingine
Pix ii,iii Wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Vwawa wakiwa wambeba juu Fanuel Mkisi mara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza, kura za Maoni kumpata mgombea Ubunge...
View Article