Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) chini ya Umoja wa Mataifa Bw. Hans- Horst Konkolewsky akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt. Ramadhani K. Dau kwa kuchaguliwa tena kuendelea na uongozi katika Shirikisho hilo. Dk. Dau alichaguliwa tena kuwa mwakilishi wa Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa kipindi cha miaka mingine mitatu (2013-2016) huko Doha, Qatar katika mkutano mkuu wa ISSA. (Na Mpiga Picha Wetu)
↧